SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Soma vizuri hio description yako, huyo ni scientist ambaye yupo kwenye Institution za kielimu na ku produce paper ambazo wanasayansi wengine wanafanya citation, kwetu huku tunaongelea watu level ya Madokta, professor etc. Mtu hawezi kuwa scientist bila kuproduce research yake mwenyewe? Hii definition ya scientist toka science Council

Nyuklia ishagunduliwa tayari, yes unaweza uka ongeza ujuzi hapa na pale ila wanasayansi wengi humo wanatumia research ambazo zimeshafanywa tayari.
 
Unaweza kuniwekea orodha ya hao watu

Samahani lakini kwa usumbufu
 
Wanasanyansi wa Nini?
Maana kwetu huku hata dakitari wa binadamu nae anasoma sayansi.

Fafanua hao wanasanyansi wa Nini mkuu
Usual ni Stem kiujumla tunasema Kwa maana ya Science, Technology, Engineer na mathematics kwa mwaka Iran wana Graduate between hio namba.

Kati ya hao Asilimia kubwa ni Engineer kama nilivyoweka Screenshot juu

Watu 233,000 wana Graduate kama Engineer, manufacturing na Construction hawa ndio wengi wanatengeneza Nyumba, Viwanda, hizo missile etc.
 
Hivi ndivyo Israel inavyosimama linapokuja suala la makombora ya balistiki:
* Mfumo wa Ulinzi wa Anga Wenye Tabaka Nyingi: Israel ina mfumo wa ulinzi wa anga wenye tabaka nyingi unaojumuisha:
* Iron Dome: Iliyoundwa kukabiliana na roketi za masafa mafupi.
* David's Sling: Iliyoundwa kukabiliana na makombora ya masafa ya kati.
* Arrow Missile System (Arrow 2 na Arrow 3): Hii ndiyo sehemu muhimu zaidi linapokuja suala la makombora ya balistiki. Mfumo wa Arrow umeundwa kukabiliana na makombora ya balistiki ya masafa marefu, ikiwa ni pamoja na yale yanayotoka nje ya anga ya dunia (exo-atmospheric). Arrow 3 hasa imeundwa kwa ajili ya kukabiliana na makombora ya balistiki ya masafa marefu zaidi kwa kuyaharibu angani kabla hayajafikia shabaha.
 
Bila china mbona kama si kweli
 
Ulichojibu hakieleweki. Kwanza nililueleza kuwa wanaokua targeted suo scientists wote bali ni nuclear scientists. Wewe uliandika as if scientists wote ni nuclet scientists

Pili ukasema wanaograduate engineering wote ni scientists, kitu ambacho sio kweli
So lila engineer ni scientist
Wasome hapa vizuri Boston University Department of Engineering wanakueleza utofauti wa Engineering na scientists
 
We unadhani iran mjinga kurusha makombola mengi kwa wakati mmoja? Wanafanya hivyo makusudi ili kuzichanganya na kuoutnumber israel intercepters...akirusha machache ni rahisi kuwa intercepted na mifumo ya ulinzi
Sasa uoni ni hasara ,
Wakirusha missile zaidi ya 200.
Ni gharama ya zaidi ya USD 300million
Zaidi ya shikingi billion 700. Za kitanzaia.

Ila mbona nao wanarusha 20 , mara 10.
Kwa Nini wasiendelee kurusha 300 , 200, 400.
 
Ishu ya Iraq walikuwa wanafuata resources, mbona inajulikana.
Ulikuwa wizi tuu wanafanya USA na NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…