SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sasa wanasayansi wa urusi wanafanya Nini?
 
sehemu muhimu zote iran alizotarget kupiga israel mwanzoni ameshazipiga, sasahivi hana haja Yakutumia nguvu kubwa, kuhusu gharama hata israel anapata hasara,
Kufeli hapana.
Wakati Ile ni computer system tuu ,
Hio taarifa ni chombo ya habari ya uturuki ndo inasabaza.
Labda kuishiwa missile.
 
sehemu muhimu zote iran alizotarget kupiga israel mwanzoni ameshazipiga, sasahivi hana haja Yakutumia nguvu kubwa, kuhusu gharama hata israel anapata hasara,
Ndo maana nikasema Hana sehemu ya kupiga zingine.
Kabaki kupiga sehemu za wazi, shule , hospital
 
Ishu ya Iraq walikuwa wanafuata resources, mbona inajulikana.
Ulikuwa wizi tuu wanafanya USA na NATO
Libya,Yemen, Lebanon, Syria,Sudan walikuwa wanatafuta nini? Umeisikiliza hiyo interview vizuri ya huyo General......? Hata yy mwenyewe alipo omba hapewe sababu hakupewa.........
 
Libya,Yemen, Lebanon, Syria,Sudan walikuwa wanatafuta nini? Umeisikiliza hiyo interview vizuri ya huyo General......? Hata yy mwenyewe alipo omba hapewe sababu hakupewa.........
USA kinachowasumbua ni kutafuta kuwa na influence katika nchi hizo.
Hio ndo ishu pamoja na resources,
Sudan wanaosababisha vita ni wengi hata UAE nao wapo walikuwa wanapeleka drone waasi kupigana na majeshi ya serikali.

Ni kama iran anatafuta influence pale middle east , uwepo wa Israel kwao ni kikwazo sana, maana Israel nyuma wapo USA na NATO.
Ndo maana mataifa ya middle east mengi wamewakaribisha USA kuweka military base pale kwao, coz wanajua iran ni mnafiki tuu, anafanya mipango wa kuziangusha tawala za kifalme za kiaarabu, Moja wapo ni Saudi arabia, kisa Saudi ni Suni afu iran ni shia.
 
Mashambulizi hayafanywi muda wote, makombora yatayofanikiwa kutua na impact kutokea basi baada ya muda warudi hurudi mtaani ndio maana kwenye hizo video footage unaona baada ya shambulizi watu wameendelea na shughuli zao zingine
Nani alikwambia yanafanywa wakati wote?

Piga hesabu, leo ni wimbi la 17 la mashambulizi kutokea Iran, linaendelea muda huu, mpaka leo ni siku ya nane.

Huwa sikisii:


View: https://youtu.be/pP4wL9kTPhY?si=NffvC1gqOWm-BJos
 
Iran hajawahi kumtisha hata mtu mmoja? Ukiona Iran kareact basi umemuanza. Ndio maana hata huyo US General mkuu wa vikosi vya NATO wakati anapewa hiyo task, akamuuliza sababu Secretary of Defence kwa nini wanazipiga nchi hizi saba hakumpa sababu.
 
Kama ni hivi mbona wanabutuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…