SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ndugu yangu level ya Iran sio hio unavyoona hapo hio ni level ya miaka 30 iliyopita ni ya miaka hapo alishavuka Sasa yuko huko unapopafikria
***************************************
🚫🇮🇷❌🇮🇱🗣Head of the Political Bureau of the Iranian Supreme Leader:

- Our old missiles caused a difficult night for the Israelis in Tel Aviv

- If newer missile technology enters the field, the Zionist regime will only understand Iran's true power.

⚜️@TheSimurgh313

🇮🇷🇮🇷❌🇮🇱🗣Israeli security expert Yossi Melman: Shiites have historically been willing to suffer. I mentioned their willingness to sacrifice.

▪️Yossi: I advise cutting our losses and approaching Trump to stop this madness with a reasonable agreement. Otherwise, we will be forced to beg for a ceasefire, and Iran will refuse...

⚜️@TheSimurgh313
 
Hii vita ni ya tech tupu hakuna AK wala RPG.
mpaka sasa akuna risasi emerushwa ni GPS,Radar,Salellite,jet fighter,hypersonic missiles ndio zina operate vita.
Hapo nchi zingine zajifunza ni silaha zipi zatumika, updating software na bila kusahau wauza silaha wapo wakitafuta wateja.

Soko la software za AI tiyari ni kubwa kwani Ai itakwambia wapi pa kupiga bila kukosea na nani ni adui na yupi ni mwenzako na pia kutambua na kuchambua kati ya Camouflage na vazi la kawaida.

Bila kusahau soko la ADSs nalo litakuwa kubwa sana.
 
Ila kaka kwa maelezo ya makombora uliyonipa mmmh hapana Iran amefanywa exaggeration kaka.
Israel ilichofanya siku ya kwanza ni kuharibu command chain ya jeshi la Iran, walifanya uharibifu ambao kwa calculation zao walihisi Iran itashindwa kuhimili na ku surrender, kuua high ranking officers zaidi ya 20, kuharibu ADs ina maana Iran walitaka iwe kama Syria na Iraq.. Israel ingepata air superiority, na soon wangeingia NATO na Iran ikawa Iraq nyingine..

What happened baada ya Israel kufanya huo ujinga , surprising Iran ime recover haraka na ku absorb mapigo, Israel ilijua ile ngumi ingemepeleka Iran chini...

Hivyo Israel ilidhamiria kuifanya Iran kuwa kama Iraq, Afhanistan, Syria ama Libya nyingine..

Iran imeweza ku recover haraka kwenye mashambulizi hayo, chain of command imesukwa haraka, silaha zote za maana zilikuwa zimefichwa mahala salama.. na sasa ni muda wa kuifanya Israel iwe Gaza...

Huu ujinga wa kujidanganya kama Israel ilivyojidanganya kwamba Air defenses za US zilizopo ME na ndani ya ISrael zinaweza kuwasaidia hawaamini kinachotokea..

Hakuna air defense itazuia usipigwe,

Njia bora kabisa ya kujilinda dhidi ya ballistic missile attack ni kuwa na diplomacy nzuri hasa kuhusu mizozo kama hii... hizo iron dome, sijui THAAD ni ujinga tu..

Na mimi naunga mkono inachofanya Iran.. wafanye 10X..
 
Mbona updates zako ni za upande mmoja tu? Mbona huelezei kichapo anachopata Iran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…