baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Iran kinachowaponza ni Huruma yao, Serikali yao na Bunge lao yoyote yule wanamkubali. Mfano 2023-2024 watoto 600,000 wenye asili ya Afghanistan wapo shule za Iran, Bunge lao lina Jews, Wazungu wa Armenia, Georgia etc Hawa ndio wanao backstab Iran, Especially hao Afghanistan wengi kati ya hao Agents wa Mossad wanatoka Afghanistan, Mamluki wa Usa ambao wametolewa na Taliban.Naona mossad wamejichimbia mzizi huko iran.
Maana jamaa hata wakijificha wanajulikana wapo wapi.
Iran wanaitaji reform kubwa sana katika jeshi lao na vyombo vya ya usalama kwa ujumla
Kwa maana hiyo idara ya ujasusi ya Iran ni mbovu kuwahi kutokea,ilikuwa hakuna haja ya kuingia vitani na nchi inayokuzidi itntel maana wanapukutika km kuku wa mdondo...Iran kinachowaponza ni Huruma yao, Serikali yao na Bunge lao yoyote yule wanamkubali. Mfano 2023-2024 watoto 600,000 wenye asili ya Afghanistan wapo shule za Iran, Bunge lao lina Jews, Wazungu wa Armenia, Georgia etc Hawa ndio wanao backstab Iran, Especially hao Afghanistan wengi kati ya hao Agents wa Mossad wanatoka Afghanistan, Mamluki wa Usa ambao wametolewa na Taliban.
Sema wengi wamekamatwa sasa hivi na Maficho mengi yamegunduliwa,
Kwanini unasema hivyo?Nionavyo mimi wengi wao si Mossad, bali ni wasaliti walioamua kuitumikia taifa la Israel kwa maslahi yao binafsi ndani ya Iran
Juzi ametoka kumtoa kamasi Piers Morgan!Umenifanya niende youtube kumtafuta huyu jamaa George Galloway, bonge moja la mchambuzi, nilikua namfuatilia sana back in 2010s...
Mnorusha hizi tweets ni bora mukascreenshot ss wengine hazioneshi
Sisi tunazionanaje wewe ushindwe kuziona?Mnorusha hizi tweets ni bora mukascreenshot ss wengine hazioneshi
Uko ndotoni amkaIran ndio nchi ya pili mashariki ya kati yote ambayo ina wayahudi wengi zaidi ukitoa Israel, yaani kwa Middle East ikitoka Israel kwa kuwa na wayahudi wengi inayofuata ni Iran..
Hii nadhani ndio imepelekea mazayuni wengi kujipenyeza na kufanya uharibifu mkubwa, lakini kuna misukule humu itakuambia Iran haipendi wayahudi, hivi kama ingekuwa wanawachukia na kuwabagua kwanini wayahudi wengi waishi Iran kwa wingi kuliko nchi zingine?
Hata mimi binafsi sina shida na yahudi, shida ni wazayuni, na hata hapa jf kuna wazayuni wengi, sio lazima uwe myahudi ili uwe mzayuni...
Kuwepo kwa wingi wa wayahudi ndio imepelekea mossad agent wengi kuingia na kufanya mauaji ya viongozi wa jeshi na wanasayansi wa Iran, wema na utu wa Iran umewaponza.
Lakini bado Israel haishindi hii vita....
Download vpnMnorusha hizi tweets ni bora mukascreenshot ss wengine hazioneshi
Mbona una hasira , kwahiyo hao waisraeli Leo wapo wapi na nchi Yao ni ipiAmemalizia huko mwisho unasemajee?
Pia hao ni wale Wana Israel enzi za Nabii Mussa ndio wanaozungumziwa hapo.
Shida huyo msenge anapost tu vitu hajui vinazungumzia nini.
Kuwa na huruma na wakimbizi sio mzuri kabisa mkuu.Iran kinachowaponza ni Huruma yao, Serikali yao na Bunge lao yoyote yule wanamkubali. Mfano 2023-2024 watoto 600,000 wenye asili ya Afghanistan wapo shule za Iran, Bunge lao lina Jews, Wazungu wa Armenia, Georgia etc Hawa ndio wanao backstab Iran, Especially hao Afghanistan wengi kati ya hao Agents wa Mossad wanatoka Afghanistan, Mamluki wa Usa ambao wametolewa na Taliban.
Sema wengi wamekamatwa sasa hivi na Maficho mengi yamegunduliwa,
Unatumia iOS au android nikupe vpn?Mnorusha hizi tweets ni bora mukascreenshot ss wengine hazioneshi
Anaogopa atapata dhambi kushindana na serikali.Download vpn