SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ameshambulia na anaendelea kushambulia muda huu maeneo yenye millitary base, launchers na maeneo yenye nuclear

Sijui wapo na ndege Vita ngapi muda huu, japo Kuna taarifa isiyo rasmi niliona inasema Kuna ndege 15 zinazoshambulia maeneo tofauti.
IDF kupitia akaunti yao wamessma ni ndege 30 zimehusika kushusha mabomu 50
 
Acacia ilikuwa sio mmiliki ilikuwa ni kama kampuni Tanzu chini ya Barrick ambaye alikuwa ni shareholder mkubwa. Ndio maana kwenye mgogoro alikuja Rais wa Barrick badala ya CEO wa Acacia. Na baada ya kuondoka migodi yote ikabaki na Barrick.
Barrick ndio ya wakina Bush na Muasisi wake ni Myahudi Peter Munk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…