SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

[emoji298]️Trump agreed and told Erdogan that he was ready to send Vice President JD Vance and White House envoy Steve Witkoff - and even travel to Turkey himself to meet with Iranian President Massoud Pazkhian - if necessary — Barak Ravid
 
Au anakimbia asiwe Target na IDF
 
Niliwambia hawa wa Iran wa humu kwamba Itafika muda Iran hataweza kurusha hata jiwe kwenda Israel, maana anacho fanya Israel kwa sasa ni kiwinda missiles ziplipo na kuzilipua.
 
wayahudi wana intelijinsia kali mashariki ya kati yote na nchi za kiarabu, na kama suala ni wayahudi kuwepo iran mbona pia waarabu kibao wapo israel?
Waarabu wapo Israel kama nani? 2nd citizen

Kuna jamaa mwarabu yupo Knesset (Bunge la Israel) ila nyumba yake haina Bunker, fikiria Mbunge ila hathaminiwo. Sababu tu ni mwarabu, alipigwa picha Ving'ora vikilia anaenda kujificha chini ya Daraja.

So usifkiri waarabu wana Vyeo na siri za Israel, wengi wanaishi huko kwa mateso na kunyanyaswa.
 
FM wa Iran ameonekana Uturuki, inawezekana ni mkakati wa kuweka mambo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…