Hapeleki Iran moja kwa moja ila ana kambi zake ukanda huo. Irani itakuwa inaenda kushambulia na kurudiToka itoke Marekani hio ndege hata kama imepandishwa kwenye basi ingekua ishafika Iran by now.
Tutapata habari zaidi.Internet inazidi kuimarika Iran
View attachment 3378232
Nenda kwenye downloads, halau install, hio ni apk, tafuta ilipo kwenye file manager utaiona..Mkuu nimeidownlod lakin mbona siion inakaa sehemu gan na inafananaje
Mpk sasa yamebaki masaa 8 tufike asubui tusubiri makombola 400.yamepita masaa 20 tokea Iran karusha missiles
Hawana huo uwezoMpk sasa yamebaki masaa 8 tufike asubui tusubiri makombola 400.
Na kihama telviv
Juzi kati alinusurika, ila sidhani kama wana mpango naye sana huyo ni kama ahmed ally msemaji tu hana amri wala madharaAu anakimbia asiwe Target na IDF
1600km usawa wa Dar to KigomaIran na Israel Kuna distance kubwa sana.
Kuna umbali
Ayatollah naye ni sababu kubwa ya hii vita kutokea.yamepita masaa 20 tokea Iran karusha missiles
Nani yupo vizuri vita ya chini kumzidi USA?USA jeshi la anga ndo zuri.
Hata wao wanajua Hilo ndo maana wanawekeza sana jeshi la anga.
Jeshi lao la angu ni kubwa kuzidi hata la urusi.
Ila ardhini USA hamna kitu
Ayatollah gani?Ayatollah naye ni sababu kubwa ya hii vita kutokea.
Tangu 2018 washauri wake wa usalama walisha muonya sana kuwa Iran bila kumiliki silaha za nyuklia Iran haitokuwa salama yeye eti Iran haitakiwi kuwa na silaha za nyuklia eti kwasababu dini hairuhusu.
Yaani kila upande umezungukwa na machawa wa Marekani alafu usiwe na silaha za maangamizi utegemee kubaki salama?
Hivi N.korea bila silaha za nyuklia ingekuwa salama mbele ya Marekani,s.korea na Japan?
Au uchina isingekuwa na silaha za nyuklia mpaka sasa ingekuwa salama.
Au Urusi isingekuwa na nyuklia ingekuwa salama dhidi ya vibaraka wa Marekani walio mzingira kila sehemu?
Ni dar tu kigoma kwa njia ya barabara lakini kwa njia ya anga hizo km ni gepu kubwa sana inafika mpaka kongo.1600km usawa wa Dar to Kigoma
Hapeleki Iran moja kwa moja ila ana kambi zake ukanda huo. Irani itakuwa inaenda kusham
Imeelekea kisiwa Cha GUAN huko PACIFIC imewekwa huko kusubiria amri ya kushanbuliaHapeleki Iran moja kwa moja ila ana kambi zake ukanda huo. Irani itakuwa inaenda kushambulia na kurudi
kwa njia ya anga ndo inakuwa karibu sasa.Ni dar tu kigoma kwa njia ya barabara lakini kwa njia ya anga hizo km ni gepu kubwa sana inafika mpaka kongo.
Mtumishi ushakua comedian.Duh wanakutwanga?
Sasa si bora ushike biblia uhubiri mtaan tu sasa mtumish
Ishu ni kwambaAyatollah naye ni sababu kubwa ya hii vita kutokea.