gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Zimeonekana Lebanon,za kutosha,nyingi kwelikweliSawa mkuu ngoja tusubiri, hata drone zinaweza kuendelea kutumwa hata mara 10. Japo taarifa ya jeshi ilisema wave hii ya 19 ninya drones. Ngoja tusubiri ndio tujionee
F 35 imepigwa huko leoIsrael inaendelea kushambulia huko Tabriz
Ulichokiona sio drones, hiyo video ni ya baloons na si ya leo wala juzi. Haina uhusiano wowote na drones zinazotumwagaZimeonekana Lebanon,za kutosha,nyingi kwelikweli
Inawezekana japo kwa sasa hakuna iliyopigwa. Wakijipanga vizuri na air defense wanaweza kuipigaF 35 imepigwa huko leo
Tupia picha if possible mkuuF 35 imepigwa huko leo
Pole, basi sadiki sasa kwamba Mungu wa Israel ni Mkuu kuliko miungu woteNaanza kukata tamaa sasa na muajemi.
Aaaaah aaaah aaaaah.
Naanza kukata tamaa sasa na muajemi.
Aaaaah aaaah aaaaah.
Mapema kusema hivyo, ndio kwanza pambo linaendelea ndio kwanza dk ya 20 mkuu myaudi akilisakama lango la lran ngoja tuone mashambulizi yanaweza kubadilika kwa counter attack moja tu, waitTaratibu mkeka unaanza kugeuka, wanaanza kumsema vibaya Israel (kuwa ni katili)
mwanzo walisema hana uwezo.
Wakamsifia Iran kuwa ni jasiri kwa kuwauwa Israel.
Ishu sio makombola mangapi.Laki moja unaona mengi,nchi iliyojiandaa miaka 46 kupigana vita!?..au unadhani walianza kuyatengeneza mwaka jana?
Balloons,we jamaa vipi?..nimeziona zimepita iraq na mlio juu unasema balloons, ndiyo vyanzo vyako vimekuambia hivyo?Ulichokiona sio drones, hiyo video ni ya baloons na si ya leo wala juzi. Haina uhusiano wowote na drones zinazotumwaga
Unajiona unajua mwenyewe wakati umeandika ujinga..hayo makombora yao wsliya-develope lini?kama siyo kabla hujazaliwa.. watakua nayo mangapi?.. kwamba kombora moja ambalo mshadizaini imebaki kufyatua tu itachukua miezi!!?.. tumia kichwa chako vizuriIshu sio makombola mangapi.
Iran adui Yao mkubwa ni USA
Na Israel. Ila hasa USA.
Je wanamakombola mangapi yanayofika USA?
Sehemu ya umbali wa km zaidi ya 5000km.
Israel ipo karibia 2000km.
Makombola ya kufika hizo km ni ballistic missile.
Ballistic Moja inatumia weeks mpk miezi kuisha kbs.
Afu missile kudevelop utumii miezi au mwaka Moja.
Unapoona 46 miaka SI kwamba walianza kutengeneza 46 years ago NO.
Miaka ya nyuma walikuwa wanatumia makombola ya scud kutoka urusi mpk mwishoni mwa miaka ya 90 ndo wakaja na plan ya kudevelop missile.
Na kuwa na missile inachukua stage mpk update final product.
Niliona video moja ya bunker la lran limesheheni makombora na launcher zake sio mchezo jamaa humo wana mpaka macrane ya kuyabeba sio poa sasa sijajua kama lililipuliwa au bado?Unajiona unajua mwenyewe wakati umeandika ujinga..hayo makombora yao wsliya-develope lini?kama siyo kabla hujazaliwa.. watakua nayo mangapi?.. kwamba kombora moja ambalo mshadizaini imebaki kufyatua tu itachukua miezi!!?.. tumia kichwa chako vizuri
Laki moja ni makombora mengi sana... π€£ π€£ π€£ hebu fanyeni ResearchLaki moja unaona mengi,nchi iliyojiandaa miaka 46 kupigana vita!?..au unadhani walianza kuyatengeneza mwaka jana?
Pamoja mkuuIsrael muda huu inashambulia maenei ya katikati mwa Tehran
Makombora ya Iran yanayoweza kufika Israel ni kati ya makombora 2000 hadi 3000.Maana Kuna mtu katuambia iran wana makombola ya kutuma miaka mitatu πππππππππ€£π€£π€£
Sasa kwa matumizi Yao inamaana wanayo zaidi ya 100k
πππ€£π€£π
Iko hivyo sababu hatuna silaha za kujilinda unayemkuta unakata kichwa...Vita vipo Africa tu huko kwingine maigizo, week tu na makaburi ya halaiki kila kona