Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.
Vinu viko salama na wanasema hakuna madhara ya ndani katika Natanz,Fordow na Isfahan nuclear plants.Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.
Safi sana..
allah kalala mbele anawaogopa makafiri na mazayuni. Kwanini kila siku waja wake wanachapika alafu allah hajitokezi kuwatetea?😁Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.
😂Iran haina silaha za nuclear na ndio mana US kaingia kupiga leo. Ila kama Iran ingekuwa na hayo mabomu ya nuclear basi wasingeipiga. Mbona Urusi wanaishia kuitisha kwenye media na kuisapoti Ukraine kwa kupitia mlango wa nyuma. Hata Iran ingekuwa na nuclear US wasingepiga.
Iran sasa inatakiwa imiliki silaha za nuclear kwa usalama wake. North Korea amekuwa na nuclear dunia nzima imemgwaya.
Ee Mwenyezi Mungu wape nguvu Iran kwani ni Wewe Mungu usiyependa dhuluma na uonevu.
Amchague bi.tozo au pale Msoga. Sisi tutawaunga mkono Iran. Inatakiwa amchakaze kweli. 😁😁😁😁Iran aachane na mpango wa kulipiza kwa USA kwa sasa ila achague kibaraka mmoja wa USA ampe kisago Cha maana liwe fundisho kwa wengine baada ya hapo atulie kujipanga upya
Hata wakati wa vita vya majimaji mkuu, wapo wakoloni waliuawa na kushambuliwa na akina Kinjekitile Ngwale.Wanasema yalikua intercepted mbona wanakiri miji kadhaa imepigwa?
View attachment 3378485
Kipigo kimeanza uzi ushakua mgumu kwao ghaflaWanaosema Iran katepeta mmmh hapana wamekosea.
Huyu jamaa ni mbishi aisee.
wazee wa HKL someni comments kimya kimya mnadhalilika😅😅😅Hakuna hata mwale mmoja wa muonzi wa Uranium uliionekana fordow
Haifa imekua mbovu kuliko Tel Aviv.Kipigo kimeanza uzi ushakua mgumu kwao ghafla
Acha kumdhihaki Mwenyezi Mungu, utapata laana kama ya Israelallah kalala mbele anawaogopa makafiri na mazayuni. Kwanini kila siku waja wake wanachapika alafu allah hajitokezi kuwatetea?😁
Lazima kuwe na hatari ya radiation.Watalaam mtuambie, hivi nuclear facility ikipigwa, hakuwezi kuwa na hatari ya leakage ya mionzi?
Angekuwa ana uwezo angewaokoa waja wake dhidi ya makafiri.Acha kumdhihaki Mwenyezi Mungu, utapata laana kama ya Israel
Nuclear Facilities zilizofikia 80% kama ilivyoripotiwa kwa Iran zikishambuliwa lazima italeta mripuko mkubwa wa Uranium na kusambaza mionzi, vumbi lenye mionzi ni lazima itasambaa kwa umbali mrefu kuleta madhara kwa binadam na mimea.Watalaam mtuambie, hivi nuclear facility ikipigwa, hakuwezi kuwa na hatari ya leakage ya mionzi?