SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Katepeta kwa lipi umeua wakuu wake wa majeshi, leta uthibitisho tofauti na hizo bunker baster kwamba USA ndio anapambana
mkuu wa majeshi ni binadam na kufia vitani sio ajabu kwakuwa nafasi yake inaweza kuwa replaced na vita ikaendelea ila kwa upande wa Israel kachapika mpaka USA na bratain ikabidi asaidie na ile propaganda ya Israel ni taifa teule sijui ni majiniaz itakuwa imeisha maana kachapika mpaka kashindwa kujibu mashambulizi
 
Kweli kabisa, Trump anabweka kwamba wanajiandaa na shambulizi kubwa endapo Iran ikilipiza kisasi..
 
Balaa la usiku wa Leo halielezeki watu waondoke tuu walishaonywa Tel Aviv hawata kaa tena

🇮🇷⚡️ Israeli media: An Iranian missile fell on a shelter south of Tel Aviv.

Dozens of people are trapped inside the shelter under the rubble

@NEWWORLDORDYR
 
Mbona mnajichanganya si mmesema mlihamisha mzigo!? Sasa iweje uulizie mionzi wakati mnasema mzigo mlishautoa!?

Mnapigika alafu mdogo kama Sadam Hussein kipindi hicho alikuwa anaongea utadhani mtu kumbe ***** tu.
KOcho israel hasimamish.... mpaka bwana wake mmerekani hamshike kalio
 
Acha utani kijana hivi unajua nafasi ya mtu, we unahisi hadi sasa Iran kukosa mwelekeo kwenye vita si kutokana na wazoefu wake kuuawa, hezboallah baada ya viongozi wake kupigwa si washapotena,
We mwenyewe nchi yako baada ya kuondoka Magufuli na kuingia mama imepoteza mwelekeo, watu ni mhimu hapa tukimgusa uchebe na washauri wake kazi kwisha, we unaweza kaba nafasi ya tundu lisu
 
Tatizo sio mafuta, tatizo ni usalama na aibu itakayotokea endapo hio B-2 ikipigwa..
Kama ndege zinazolushwa na wadada zimekushinda, jana penyewe B-2 zimeingia na kutoka ukiwa huna taarifa uchebe alikuwa anakuna makende tu, Si tunasubiri umshamblie USA maana ulimuahidi
 
Kama ndege zinazolushwa na wadada zimekushinda, jana penyewe B-2 zimeingia na kutoka ukiwa huna taarifa uchebe alikuwa anakuna makende tu, Si tunasubiri umshamblie USA maana ulimuahidi
Wamefanikiwa kipi? hakuna walichofanikiwa hata kimoja..
Kumbuka hizo ndege za hao wadada hawana walichofanikiwa pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…