SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Unaelewa kilichotamkwa na Israel na haya unayoandika?
 
Ubarikiwe umetoa analysis nzuri sana.

Wengi humu wako biased na wanapenda kusikia habari upande mmoja pasipo kufikiria upande mwingine. Na katka vita western country ni wazuri sana kwa propaganda.
 
Bunker buster kama hio GBU 57 ina uzito takribani tani 14, je B-2 spirit inaweza kubeba hizo bunker buster ngapi? B-2 inabeba tani 20, hivyo haina uwezo wa kubeba hayo makombora mawili, unless ziwepo B-2 nyingi.. kitu ambacho ni risk..
zinabeba bomu mbili sio moja
 
The IAF struck dozens of military targets in Iran yesterday

A short while ago, IAF aircraft struck two F-5 fighter jets belonging to the Iranian Armed Forces at the Dezful Airport in Iran.

Additionally, in strikes that were conducted earlier this morning, eight launchers were neutralized, including six launchers ready to immediately launch missiles toward Israeli territory.

Yesterday, (Saturday), approximately 20 IAF fighter jets, struck dozens of military targets in Iran, following the precise direction of the IDF Intelligence Directorate.

Among the targets struck were a military site containing components to produce explosive materials, weapons storage, and production facilities, and Iranian aerial defense systems.

Additionally, the IDF struck military infrastructure sites at the Isfahan airport, in order to prevent the Iranian Air Force’s use of the military infrastructure.
 
Kama kama USA wamedanya kuhusu Vinu vya nyukria Haina faida yoyote, ya kusema uhongo kwamba vimeharibiwa.

Uwezekano wa kutokuharibiwa ni mdogo mno.

Ndo maana nasema kwenye haya mambo ukiwa pro iran , habari ya uhongo ya iran utaamini tuu.
Na chochote watakachofanya Israel au USA uwezi amini hata kidogo.

Vile vile hata kwa pro Israel na USA.
Ni hivyo hivyo tuuu.

Unabaki kuumia tuu mda wote

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁
 
Reactions to the American attack on Fordow:

Oman, which is mediating in the nuclear talks between the US and Iran : We condemn this illegal attack and call for immediate action to reduce the escalation in the region.

Saudi Arabia : We are following with great concern what is happening in our neighbor, our sister Iran, in light of the American attack on Iranian nuclear facilities.

On June 13, we announced in a proclamation that we condemn the violation of Iran's sovereignty. We must act with restraint.

Hamas : We strongly condemn the American aggression. This is a dangerous escalation.
 
Wanasema hawajabiga ila Kuna watu hapa wametuletea habari kuwa iran wamesema USA imeanzisha vita rasmi.
Kama mambo ni swali ni ya Nini yote hayo maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…