SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nuclear siyo sufuria la makande kwamba ikiripuliwa itajificha kwa propaganda lazima Uranium ingeleta shida na kungekua na vumbi la mionzi hayo maeneo yote
umeambiwa vinu viko chini kwenye milima mita sitini fikiria kwanza kabla hujaongea
 
MITAMBO YA NUCLEAR FACILITY KUMBE NI PORTABLE NA ZINAKUWA DISMANTLED KWA MUDA MFUPI NA KUHAMISHWA KWENDA NCHI NYINGENE
Sina utaalamu na hayo mambo... Ni mawazo yangu tu... Na unaweza hamisha sampuli na sio lazima uhamishe na mitambo
 
Na wew unajuaje kama kuna madhara? Israel ni mweupe tu ndo maana kaenda kulia lia kwa shoga mwenzie wasaidiane.
Vita zote huwa ni collabo, hii siyo boxing match, Je Iran hana mashoga wa kumsaidia au wame mute??
hata vikundi yva mgambo anavyo fund (Hamas, Hezboullah, Harakati M Jihad, Houthis etc), viko hoi bin taban.
 
Huku ndio kukaririshwa kwenyewe mangichogo kaongelea
 
Mzee Ayatollah sisi tunaomba iwe basi Washakoma na wenyewe wameomba pooo kupitia Maandamano !!!

waone uruma wengine wanakimbia kwa miguu kwenda utumwani Misri kichwani wamebeba Shangaz kaja.. Mzee Ayatollah wasemee awajui walitendalo!!!
 
Wairan wanafurahisha serikali yao imegawanyika kati ya reformists na conservatives

Hawa reformists wanafikiri wazungu wana wachekea chekea wana waamini wazungu na taasisi zao.

Wazungu wanapambana western civilization isinguke wala isiangushwe na mtu yoyote na ndio maana wapo tayari kuungana kumshughulikia yoyote yule anaye tishia western civilization kuwa amini hawa watu ni ujinga wa mwisho.
 
Yale si maandazi kuwa wanahamisha.
Ukiona hadi hizo ndege ziko anga la Iran basi hakuna Air Defence hata moja maana yake Israel alifanya homework vizuri sana.
Wasingeweza hamisha chohote
Kama mpaka sasa mionzi haijavuja basi kuna mawili, moja wenda ni kweli Iran ilisha hamisha Uranium yote kwenye vinu vyote vilivyo shambuliwa au wenda mabomu yaliyo tumika yameshindwa kikifikia kina cha mitambo ilipo.
 
Moja ya kazi ya ujasusi ni Kupima capacity ya adui, wanaojenga bunkers kwa ajili ya shelters za watu, ammunitions, na vitu kama hizo nuclear facilities nk.

Capacity za bunker busters zinajulikana, nitawaona Iran wapumbavu kamakupitia ujasusi wa Russia na wakwao wenyewe watashindwa kujua wanatakiwa kujenga bunkers za size gani..

WW2 coalition forces walishindwa kulipua bunkers za manazi pale France, zile bunkers ndio zilikuwa parking za U-boats za manazi wa ujerumani, mpaka leo pale zile bunkers zimebaki makumbusho.
 
Fordow kashushiwa mabomu 12 yenye uzito wa 14T za TNT kamwe haiwezi baki salama.

Kama Hypersonic Missile ya 750kg inaharibu majengo mengi pale Tel Aviv ndo hizi bunker buster zishindwe?

Kumbe Isfahan wamelipua eneo walilokuwa wanatunzia Enriched Uranium, hakuna jinsi Iran ataweza fufua nukes zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…