baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Leo Haifa imepigwa bila Alarm ama defense system ku detect chochote, Kombora jipya limetumika,Unaongea kimahaba badala ya fact.
Hao raia na mayor wa miji inayoshambuliwa hapo Israel wanakiri kuwa hawakuwahi kukumbana na mashambulizi kama haya, shambulio la Oktoba 7 lilikua dogo sana ukilinganisha na hili.
USA imefikia hatua hadi ya kuingilia kati,wewe unataka kusema nini wewe mmakonde wa Nanjilinji!?
vinu vya nuclia vya iran viko chini sana ya milima tena kwenye miamba ambayo ni migumu mabomu kupenya ndio mana marekani ametumia yale mabomu yenye nguvu sana ya kupenya chini.. hivo kwa umbali huo wa chini na ugumu wa miamba inaweza kusababisha leakage iwe kidogoKwahiyo mita 60 ikiwepo chini ndo haileti madhara? Hivi unaifahamu nuclear kweli?
no single mortality/death, ni desperate and symbolic reckless attacks of no military valueLeo Haifa imepigwa bila Alarm ama defense system ku detect chochote, Kombora jipya limetumika,
Twende kazi kakaBack again, get ready for the updates
Madhara yanaonekana inategemeana nuclear site ipo wapi.Hapana madhara yangeonekana ,una kumbuka janga la kuvuja mionzi nchini japan na maafa yake?
U.S. operates military facilities in 19 locations in countries such as Bahrain, Egypt, Iraq, Israel, Jordan, Kuwait, Qatar, Saudi Arabia, Syria and the UAE. Eight of the facilities are considered permanent.USA katorosha wanajeshi wake wote waliokua kwenye bases mashariki ya kati kaaacha majengo tu kuhofia mashambulizi ya Iran, Msala kawaachia Israel
Inatakiwa alemge military facilities hasa air forces zake.kitu ninachomshangaa Iran ni kwa nini ameshindwa kutoa threat ya Israel kutumia anga lake muda wowote anaotaka yeye? kwa nin asitumie hayo makombora yake kuangusha ndege za israel pindi zinapopaa kwenye anga yake? badala yake yuko bize na kushambulia apartments za Haifa?
Walitoa Tangu alhamic. Kila kitu mpk air forces,USA katorosha wanajeshi wake wote waliokua kwenye bases mashariki ya kati kaaacha majengo tu kuhofia mashambulizi ya Iran, Msala kawaachia Israel
Ingekuwa hivi vitu inajulikana kirahisi basi hii isingekua vita, According to Iran walivitoa miezi kabla, so inaweza kuwa kweli ama uongo, ila bottom line ni mpaka sasa hakuna mionzi ambayo imekua detected, so it's Either pamelipuliwa na Uranium hamna, Hakujalipuliwa na Uranium ipo etc.Acha utani kijana, we ushaonaga mitambo ya nyuklia au unahisi ni kama deli la barafu unatia juu ya boda unaondoka, somehow mngesema material ila mitambo umepanuliwa👋
Mara mnasema vita mmestukizwa mara mlijipanga si tuelewe kipi
Leo Haifa imepigwa bila Alarm ama defense system ku detect chochote, Kombora jipya limetumika,
kitu ninachomshangaa Iran ni kwa nini ameshindwa kutoa threat ya Israel kutumia anga lake muda wowote anaotaka yeye? kwa nin asitumie hayo makombora yake kuangusha ndege za israel pindi zinapopaa kwenye anga yake? badala yake yuko bize na kushambulia apartments za Haifa?
Dah, mkuu umewaza nini😄Naskia holaa chief B-2 zimekuwa kama p-2 zile za kizuia mimba Kwenye mbususu
factor nyingine, ni kuwa aliowategemea (CHINA na RUSSIA) wame-mute, wana issue zingine muhimu zai😀Stealth technology ya hizo F35 ni technolojia kubwa sana, moja ya sifa kubwa ya hizo fighter jet ni hiyo stealth capability.
Ukiweza kuzuia nguvu ya angani ya USA na Israeli maana yake utakuwa umeshinda hiyo vita asubuhi sana.
Ili uipige F35 maana yake radar zako zitakuwa zimeoiona maana yake pia hizo F35 zitakuwa hazifai tena.
Lingine ambalo limefanya Iran airforce kuwa week ni mipango ya mwanzo ya Israeli na USA kwenye hii vita, inaonekana Iran akiwa amerelax jamaa walipandikiza majasusi ndani ya Iran kuangalia targets zote na installation ya ADs zote na idadi ya mobile IDs zote na location zake.
Kupitia ujasusi inaonekana kulikuwa na sabotage zilizokuwa zikifanywa na majasusi na moles wengine wa Israeli waliokuwa ndani ya Iran.
Inaonekana Iran ilikuwa weak sana kwenye ujasusi, haikuwekeza sana na haikuwa inafanya assesment ya mifumo yake ya kijasusi na kuscam majasusi wake.
factor nyingine, ni kuwa aliowategemea (CHINA na RUSSIA) wame-mute, wana issue zingine muhimu zai😀
View: https://www.tiktok.com/@user14151712692186/video/7518527081525955895?is_from_webapp=1&sender_device=pc