SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sio kwamba wana report habari za upande mmoja..
Aljazeera hawana unafiki kama CNN, BBC, VoA DW na n.k..

Israel hata waandishi wa habari wa kujitolea wanafukuzwa na hawaruhusiwi kupigs picha..

Israel imechakazwa vibaya sana..
Mbona picha tumeziona mkuu mbona video za vimondo vya Iran vinavyo tua kwa spidi ya mwanga tumeona

Israel haijawai kupigwa Kama alivo pigwa safari hii Kwa mala ya Kwanza ana experience maumivu ya kufukua vifusi ndani ya ardhi yake

But kivita mpaka muda huu kwa mapigo aliyo pigwa Iran, . Israel Bado anaongoza kama ni football ni 10 kwa 1
 
Vifo 10+ katika watu Mayaudi milioni 9.
Vifo 100+ katika Wairan milioni 90.

Kama Myahudi pori unashangilia, basi wala haihitaji kuwa na A ya Mathematics kuelewa kwanini na sisi Waajemi wa Segera tunashangilia.
 
Hatuja kuelewa kama tupo na wewe kwenye tv
 
Iran imeonyesha udhaifu Sana kwenye intelligence yake kwa namna mauaji ya maafisa wake muhimu yalivyoratibiwa.....tangy kuuawa kwa Hanniyeh mpaka sasa bado hawakujirekebisha

T14 Armata
Bado anatembezeawa moto mchana kweupe kuna milipuko inasikika huko, ye anasubiri giza liingie ka mwangaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…