SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sababu ya Iran kutoshambulia kwa wingi kama mwanzo ni kuwa Ndege na Drone za Israel ziko angani muda wote hivyo wanashindwa kurusha.

Israel inawapiga hawataki wapumzike
Shambulio la leo ni kubwa probably kushinda yote Toka Vita Vianze, unaweza niambia toka Vita Vianze lini kumepigwa Target nyingi kushinda leo?
 
Ndio wapo kikaoni muda huu amemaliza kuongea muwakilishi wa South Korea akisema wanaotakiwa waungane kwa namna zote kurudisha amani na kusimamisha vita hii isiendelee na kuleta maafa zaidi.
Hali imekua mbaya aisee,kitendo cha kukaa kikao cha dharura inaonesha Kuna mambo magumu.
 
Video footage: Israel mhda mchache uliopita imeshambulia kwa makombora eneo la Tabriz. Mlipuko mkubwa
 

Attachments

  • 2025-06-22_22-41-50_0.mp4
    644.3 KB
Kwa hali ilipofikia sijui itatumika mbinu gani ili hii vita isimame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…