SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nimekuelewa hiyo paragraph ya mwisho. Tukitudi kule mashariki ya kati, israel haitaishi tena kwa amani. Itapitia changamoto za kiusalama. Haswa ugaidi.
 
Sidhani kama hilo laweza kutokea kwa karne hii.....marekani wanajua madhara ya kutumia hayo mabomu na iliwagharimu sana kuijenga upya nagasaki na hiroshima pia ilitumia gharama kubwa kuwafanya raia wa japan wasiwe na kinyongo nao

Kama wanajua madhara Kwa nini wanaendelea kuyatengeneza?
 
Kwa akili na rasilimali alizo nazo Iran angeachana na mambo ya ugaidi na nukes na kujifanya mtetezi wa haki. Hakuna nchi pale middle east ingeifikia Iran
Hivi ukiangalia kitu Israel anacho wafanyia watu wa gaza unaweza sema ni nani gaidi kati ya Iran na Israel.
Maana Israel anacho kifanya huko gaza ni unyama ambao hata shetani mwenyewe ana pingwa butwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…