Bila Hamas na Hezbollah kupigwa Iran angekuwa na bomu Xmass ya 2026.Hivi ukiangalia kitu Israel anacho wafanyia watu wa gaza unaweza sema ni nani gaidi kati ya Iran na Israel.
Maana Israel anacho kifanya huko gaza ni unyama ambao hata shetani mwenyewe ana pingwa butwaa.
Iran iko so lonely hakuna wa kumpa support yoyote ileIran aache ujinga hawezi kupambana na wazungu atachapika. wazungu ndio manyapala wa dunia hii.
Urusi hana pesa tena. Hawezi kuingia kwenye vita nyingine wakati ka Ukraine tu kanamtoa kamasi. Yani atapigwa mpaka aanze kutishia nyuklia maana ndio la mwisho.Naamini Urusi naye anapigika vizuri, ni vile tu hawajaamua kumtoa pale, hata Ukraine alipewa silaha nzuri anamtoa vizuri tu
Wamepiga geti, ndugu zao wameenda kufarikiNaona wafungwa hao hawajanusulika kwenye hili Israel imelipiga gereza nchini Iran sijui watakuwa salama .
Ni silaha ipi ambayo Ukraine hajapewa? Mi naona Russia ndo anagusagusa ila angepiga kata funua vita ingekuwa imekwishaNaamini Urusi naye anapigika vizuri, ni vile tu hawajaamua kumtoa pale, hata Ukraine alipewa silaha nzuri anamtoa vizuri tu
Naona hata manpad Wenda nazo wakawa na upungufu mkubwaMissile interceptors ndio zilikuwa zinatumika Vietnam war miaka ya 1960s.
Iran leo 2025 wanazitegemea hizo baada ya missile systems kuharibiwa vibaya. Ndio imeisha hiyo hakuna turning point.
Pesa na silaha anajitosheleza sana ila sikiliza mchambuzi huyu..Urusi hana pesa tena. Hawezi kuingia kwenye vita nyingine wakati ka Ukraine tu kanamtoa kamasi. Yani atapigwa mpaka aanze kutishia nyuklia maana ndio la mwisho.
Hizo anti-aircraft gun?Inaitwa FINITO
Pesa na silaha anajitosheleza sana ila sikiliza mchambuzi huyu..View attachment 3379937
Urusi hana pesa tena. Hawezi kuingia kwenye vita nyingine wakati ka Ukraine tu kanamtoa kamasi. Yani atapigwa mpaka aanze kutishia nyuklia maana ndio la mwisho.
Upeo wa kuchambua hayo masuala?Pesa na silaha anajitosheleza sana ila sikiliza mchambuzi huyu..
View attachment 3379937
Waliondoa wenyewe enriched uranium wakijua nini chaja,halafu pawe na disagreement?.. propaganda za kitotoFour official sources in the Iranian government describe the atmosphere following the American attack on the nuclear facilities as a national defeat and humiliation, and said that there is disagreement about how to respond.
Ukimuona nishtueIsrael muda mchache uliopita imeshambulia eneo la garmdarreh, mlipuko mkubwa
Za kushambulia fordow aliposhambulia Trump hujazipata?Israel muda mchache uliopita imeshambulia eneo la garmdarreh, mlipuko mkubwa