Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,103
- 7,102
Yaaah Nipo very obsessed na war that sounds of kaboom make me excited nataman kua deployed in middle East apoUmefulahi eeenh!!!?.
Propaganda uchwara kutoka kwa bibi.Marekani wamejibu ili iingilie kati, basi Iran iwe tayari kucha kabisa mawazo yoyote ya madini ya uranium, kwamba iseme tena mbele ya dunia kuwa haitajaza jaza madini ya uranium tena........
========================
Iran has reached out to Oman and Qatar, requesting that they mediate with Washington in an effort to halt the ongoing Israeli strikes and restart nuclear talks, a source familiar with the matter told The Jerusalem Post.
At the same time, Saudi Arabia is also working behind the scenes to promote a ceasefire framework aimed at resuming talks, the source added.
These Iranian efforts come amid clear messages from Washington: only full Iranian acceptance of the American proposal, which includes a complete halt to uranium enrichment, will lead to an end to Israeli military operations.
Iran turns to mediators to reach ceasefire, prevent Israeli strikes | The Jerusalem Post
Saudi Arabia is also working behind the scenes to promote a ceasefire framework, a source told The Jerusalem Post.www.jpost.com
Israel ineshashindwa.Naamini Israel ataweza ipige Iran on daily basis kwa precision kuliko Iran
Sawa ila msisahau kufatilia sura za wazayuniMapig
Mapigo ni zamu kwa zamu na israel alichofanikiwa zaidi ni kutumia infiltrator
Vipi mjini Haifa hapoHuko Tehran mambo si mambo
Sio Iraq ni makundi ya kiiraq yanayoungwa mkono na Iran, serikali ya Iraq chama letu waleIraq imeshatoa tamko rasmi ni wanasubiri tu waingilie wengine na wao waliamshe na vita ya sasa ni kulenga raia wa Israel. Walicho kufanya Gaza watu wamekihifadhi
Hakuna kitu kama hicho mzee usiniongopee!Huko Tehran mambo si mambo
Nasikia vyuma vinashuka huko, mwenye update ...?
Ikulu Tel Aviv inawaka motoHuko Tehran mambo si mambo
Uzuri ayatollah ana rudisha kipimo sawa na wanacho jitekenya.Israel ineshashindwa.
Wanachotumia sasa hivi ndani ya Tehran ni mbinu za kigaidi kama wanazotumia ISIS.
Wanatega mabomu kwenye magari maeneo nyeti na kusababisha milipuko mikubwa.
Wametoka ku detonates 5 car bombs in different areas of Iran
Wametoka kusabotage bwawa muda si mrefu maji yanatiririka uraiani.
Wapo sehemu salama wakiwa hapo hakuna kombora la Iran laweza penya, ila ye Iran katangaza eti misikiti ndio shelter zao na Israel hajali misikiti ni anafumuaSawa ila msisahau kufatilia sura za wazayuni
Haifa now, alafu kunamtu anakwambia yameshushwa yote😂😂😂
HahahaIsrael-Iran updates: IRGC intelligence chief, two generals killed
IRGC’s intelligence chief and two other generals were killed in Israeli attacks on Sunday.aje.io
Hakuna kitu Iran kashindwa umiza hata mbwa koko wanaozurura mitaani, zote zimezuiliwa ila kwako kunafuka moshi🤌
KASONGO ye yee mombali nangaSio Iraq ni makundi ya kiiraq yanayoungwa mkono na Iran, serikali ya Iraq chama letu wale
Mbona wewooooKASONGO ye yee mombali nanga
Ndani ya Iran wamo wayahudi ambao wamekaa kwa muda mrefu sana.Uzuri ayatollah ana rudisha kipimo sawa na wanacho jitekenya.
Sema Kuna usaliti ndani ya Iran explosive zilizo ingiaa zinaonyesha dalili ya ushiriki wa vyombo au maofisa wa ndani. Muda utasema.
Angani wamesha shindwa na inaelekea kutaanza kuwekwa vizuizi vya ukaguzi, na msako mkali
Ooyeyee oooyeyeeeMbona wewoooo
Ayatolanangayee😁
Kituo cha usambazaji wa umeme cha Israel na nyumba ya netanyau.IRGC HEADQUARTERS kuna waka Moto muda huu na Iran katuma vimondo tayali
Hii sasa ndio vita sio Wale vilema wa Hamas maneno meeeengii unapigwa unaanza kulilia UN
Wakati milipuko imesikika tel aviv,glider bombs!!?..maamae,leo muajemi kaanza saa kumi mpaka pakuchezilizotumwa zimezuiliwa zote.
Sasa uelekeo ni Tehran mdogo mdogo glide bombs zinashuka