SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kuna mtu amesha order kanzu na mwingine kitambaa cha bwana mkubwa.

Hii vita italeta balaa kubwa sana...wayahudi wameianzisha makusudi ili kufanya kitu kimoja tu.....
Ule uchebe wa ayatoulah unafaa kama mbolea kwenye kilimo cha matikiti, nipewe nimeuwahi
 
Vipi uko Tel Aviv hapajaanza kuwaka tu
Jina la kifurushi ni bila kikomo
Location : tel-aviv
Supplier : Iran
consignee : Israel
Date : 15/6/2025
Muda : juu ya alama



Sijui kwanini najikuta moyo baridiiiii
 

Attachments

  • Iran’s_bombardment_targeted_the_power_plant_in_Hadera_and_the_Netanyahu_family_residence_in_Ca...mp4
    300.6 KB
Inapendeza sana... Kombora linakua limezungukwa na misukule
 
Na kama ni mafuta BASI tatizo ni mzungu akiongozwa na marekani Kwa sasa.
 
Njia inatengenezwa ili B2 Spirit Bomber iende Fodow ikamalize kazi iliyoanzishwa na Israel.
Mwisho wa siku Iran itakuwa kama Syria na Iraq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…