Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Kinu kingine cha busher chenye wanasayansi 200 wa urusi hakikupigwa,sasa wanasemaje wametimiza malengoIran hajakataa vinu vyao kupigwa, ila statement yao official walishatoa Uranium humo, kitu ambacho kipo proved na kutokuwepo leak yoyote vilivyopigwa.
Ubishi uliokuwepo ni wa kinu kimoja tu cha Qom ambacho kilikua chini ya Ardhi kama Bomu la Usa lilifikia humo ama lilishindindwa kufikia (with or without Uranium)
Makubaliano ya ceasefire ni Iran ndio ata chagua muda, ule wa Trump ni kutafuta tu kiki, so anapiga sasa hivi akimaliza kupiga wanatangaza Ceasefire.Ukiona hivyo basi maumivu kule ni makali.
Waziri wa mambo ya nje wa iran alisema last week Israel wakiacha kushambulia na sisi tunaacha.
Ila still wanaendelea.
Why?
Kinu kingine cha busher chenye wanasayansi 200 wa urusi hakikupigwa,sasa wanasemaje wametimiza malengo
Kweli kabisa binafsi ile post yako ya jana nilielewaIsrael sio ya kuiamini, hii ceasefire gani haina condition?
Hapa hakuna cha ceasefire, Israel imeona hii vita ni hasara kwake, nilizungumza hapa jana kuhusu war of attrition, na sasa imetokea....
Muajemi anakuambia vidole bado vipo kwenye trigger, Mzayuni akileta uzuzu tu, wanaendelea walipoishia.Israel sio ya kuiamini, hii ceasefire gani haina condition?
Hapa hakuna cha ceasefire, Israel imeona hii vita ni hasara kwake, nilizungumza hapa jana kuhusu war of attrition, na sasa imetokea....
Basi kwa mtazamo huu inaonesha bado malengo ya USA na Israel hayajafikiwa.Hicho kamwe hakitaguswa. Si USA wala Israel ambaye atajaribu kukigusa.
Hauwezi urefaree huyuWewe jamaa unalala muda Iran ikianza kupeleka MOTO !!
sasa nikama unazima TV wkt Ukishajua kwasasa matangazo yatakuwa kuusu Iran kuchapa wana wenu taifa teule la mchongo !!
hiii sio Double Standards waungwana !!!¡!!!!!!!!!!!!!
Kuna ndege hapo wana jicho zaidi ya irone dome. Wameruka mapema kabisa before impactHabari za Asubuhi Beersheba.. Mmeamkaje?
View attachment 3381029
View attachment 3381034
View attachment 3381032
Una demu au ni mwendo wa nyeroNinalala kama kawaida, muda wangu wa kulala ni saa 5 usiku hadi saa 12 asubuhi kila siku
Mungu fundi sana!!Tulizoea kuona raia wa Palestine wanalia kila siku sasa leo zamu ya waisrael. Ama kweli kuimba kupokezana
View: https://youtube.com/shorts/nqRPIHVwXSs?si=W7WuwmI5tET9bqf1
Mkuu upo makini sana, hii omment imenifanya nikachunguze clip, kweli hao ndege wameruka mapema kabla kombora halijatua sekunde kama moja...Kuna ndege hapo wana jicho zaidi ya irone dome. Wameruka mapema kabisa before impact
Unajitongozesha!?Huu uzi ni wa mkuu City Thunder OKC bila yeye humu nyie wengine ni wangese tu mafia dini🤸🤸🏃🏃
Unamkatisha tamaa sbb unajua soon anarudi kuleta updates za ukweli na uhakika..MLIPUKO MKUBWA SANA safari hii nahisi SANA zake zitakua 3 ktk kila updates.Una demu au ni mwendo wa nyero
Si unaona bado wanaendelea kupigana pamoja na ceasefire kuwepo. Ngoja tusubiri maana kila mmoja bado anataka kuendelea kushambuliaKiko wapi!?