gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Uwongo,wamebutua kituo cha kuzalisha umeme na makazi ya familia ya netanyahuHali sio poa sana kwa upande wa Iran, labda tusubiri usiku akishaswali swala ya jioni,Maana missiles 50 zote kutunguliwa sio poa.
Ayatoulah inahitajija apewe pisi apige ata bao moja ajiliwaze
Wapo sehemu salama wakiwa hapo hakuna kombora la Iran laweza penya, ila ye Iran katangaza eti misikiti ndio shelter zao na Israel hajali misikiti ni anafumua
Hali sio poa sana kwa upande wa Iran, labda tusubiri usiku akishaswali swala ya jioni,Maana missiles 50 zote kutunguliwa sio poa.
Ayatoulah inahitajija apewe pisi apige ata bao moja ajiliwaze
Eti zinapiga popote, israel wameanza kupandikiza mabomu kwenye magari ile kigaidi kama alqaedaWewe hujui unachoshabikia!!!! Mwanzoni ulikuwa Unawaramba makalio Iran na kusema israel haiwezi kuwagaragaza Ona sasa wanavyochezea kichapo cha mbwa koko hadi aibu ndege-vita za Israel zinapiga popote zinzpotaka utafikiri nchi haina Jeshi!!!
Ilishindikanika 1980-1988 kwa vita ya miaka 8 sembuse leo hii!?Inatafutwa sababu ya kumgeuza Ayatollah Kama alivo pigwa Iraq kile kipindi zilianza hizi hizi taarifa Saddam Hussein ana ICBM apigwe mapema kama mwizi
Naona sababu imepatikana tunacho subili ni false flag Tu military camp moja ya US ipigwe apo middle East US aingilie mchezo wakamvue dera Ayatollah
Usifikiri kaogopa kurusha matukio.Internet na simu zazimwa Iran
Nanusa harufu ya Udini kwenye uzi huu
Muslims vs Christianity
Yale yale ya Ukraine. Kawaida ukipigwa unatafuta hata mawe Ili umuonje hata kidogo opponent wako.Eti zinapiga popote, israel wameanza kupandikiza mabomu kwenye magari ile kigaidi kama alqaeda
Israel ni wakali wa kazi za vilipuzi, hukumbuki zile pagers za hezboallah, yaani hapa ni Iran aje mezani au tuondoke na dera la Ayatoulah kwanza kashatutukana sanaWamehamia kwenye mbinu za alqaeda?
Mtoto kautaka na Iran wanatuma Hypersonic kwenye target zao , target ikiwa ni sehemu 3 wanatuma Hypersonic 3 kwenye hizo target alafu makombora 97 ya geresha nayo yanarushwa , Ndo hapo tunaona Air defence ya Israel inachanganyikiwa vyuma vinatua tu ndani ya Tel Aviv kama havina akili nzuri
hahaha et apewe pisi apige achangamshe damu hahahaHali sio poa sana kwa upande wa Iran, labda tusubiri usiku akishaswali swala ya jioni,Maana missiles 50 zote kutunguliwa sio poa.
Ayatoulah inahitajija apewe pisi apige ata bao moja ajiliwaze
Hata hawanitambui ila me nawatambua sababu ni kizazi cha Ibrahim, isaka na yakobo baba zetu wa imaniCheka tu, ila myahudi anakutambua wewe ni NYANI
Free palestine 🇵🇸
Ili wawadake wanavyowasilianaYale yale ya Ukraine. Kawaida ukipigwa unatafuta hata mawe Ili umuonje hata kidogo opponent wako.
Milipuko itapungua huko Iran baada ya ku switch off mitandao
Unaandika@ afu unafuata jina mf gallow birdHivi kutag mtu unafanyaje nimtag mwenye uzi?
Naunga mkono hoja hapa Iran imepigwa Kofi la uso.The Israeli ground force in Iran (Mossad and others) and the Air Force are cooperating nicely.
Fanya kama vile kwenye magroup ya WhatApp Ila usinitagHivi kutag mtu unafanyaje nimtag mwenye uzi?