City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Hawa nao wanazingua sasa waajemi!π₯
Israel kutumia uchawi na majini kwenye Vita na kufanya assassination imekua mjadala mkubwa Tehran. Jana mmoja wa waandishi wa jeshi la Iran aliibua hoja hii
Nb: Pete hii yenye haya maandishi ilikua ya kamanda hajjizadeh aliyeuwawa na Israel
View attachment 3402262
Wao wanadai hivyo na imezua mjadala mkubwa.Hawa nao wanazingua sasa waajemi!
Uchawi na vita wapi na wapi!?
Democrasia isiyoweza kumtoa mtawala madarakani ni sawa uchawa tuSie tunaona na hiyo Israel tunaifuatilia.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali 80% ya raia hawataki kiongozi aliye madarakani(Netanyahu),lazima hapo kutakua Kuna manipulation inafanyika yeye kubaki uongozini.
HUWEZI ukasema Israel ni nchi ya kidemokrasia ilhali iliwalazimisha Jews orthodox kujiunga na jeshi ilhali ni kinyume na utaratibu wa orthodox Jews.
Tunaona na tunaifuatilia sisi sio watu wa kumeza nooop.
Jaman si alisema malengo ya vita yamekamilika...na waisrael wa bongo nao waka supportπ₯
Netanyahu anasema Israel bado hawajamalizana na Iran. Bado ya kufanya ndani ya Iran
View attachment 3402149
Ngoja tusubiriJaman si alisema malengo ya vita yamekamilika...na waisrael wa bongo nao waka support
Walikufa kizembe kabisa harafu kwa kujifariji na kujipa moyo wakasherehekea ushindi!! Hapo ndipo ujue Iran wana akili sana!!!!π₯
Fayyaz Zahed mwandishi wa habari na mchambuzi wa television ya taifa ya nchi ya Iran anasema siku ya tukio la kuuwawa kwa mkuu wa majeshi wa Iran, pamoja na makamanda wengine wakuu.
Anassm Mkuu wa majeshi salami ilipofika saa saba na nusu usiku, alijulisha baadhi ya watu kuwa Israel itashambulia muda wowote, na ilipofika saa tisa usiku wakashambuliwa ambapo mkuu wa majeshi salami alifariki hapo hapo.
Hadi kufikia saa kumi na moja alfajiri Kamanda Hajjizadeh alikua bado hajafariki, lakini baada akafariki
Fayyaz Zahed anataka uwajibikaji kwa idara za usalama za Iran pamoja na uchunguzi mkubwa ufanyike
Iran ndio ainganamize Israel au Iran gani unaemzungumziaπHuyu mzee afe la sivyo anaenda iangamiza nchi.
Huyo ni mchumba tu kwa baadhi ya viongozi wengine ambao ni mawaziri wa kawaida kuna waziri wa fedha wa IsraelHuyu mzee afe la sivyo anaenda iangamiza nchi.
Huyu Sheikh Ali Taeb ndiye aliyetoa Fatwa ya kuuwawa Trump na Netanyahu?
Netanyahu alikuwa anaivuta US kuingia vitani na Iran, Netanyahu anatumia nguvu na kumshawishi sana Trump kuivamia Iran, lakini kwa sasa hata wananchi wa US wenyewe hawataki vita a Iran propaganda zake za early 2000s za kuivamia Iraq zilifanikiwa lakini sasa ni kama ngoma imekuwa nzito.....Hizo vita ni kujibakisha madarakani tu na kukwepa tuhuma za ufisadi.
Na ukitizama sasa hivi unaona kabisa kaka matendo yake ni ya mtu desperate kabisa.
Nchi hata iwe na uchumi mkubwa vipi haiwezi kuanzisha vita juu ya vita.
Anapigana vita tatu kwa wakati mmoja.
USA yenyewe haijawahi fanya hivyo.
Anaiangamiza nchi huyu kwa kutapatapa kwake,na Israel raia walioondoka wanasema hawana mpango wa kurudi.