Israel kajua juu hawezi kupita hivyo anashambulia Kama walivyokua magaidi ya IS yanafanya wanaripua wakiwa ndani baada ya kujipenyeza mashambulizi hayo ya drone hatari Kwa assassination Hata ukiwa taifa Kama US hutoboi. (Refer Ukraine ndani ya Russia) Lakini unafuu wa mashambulizi hayo impact yake ni ndogo kuliko chuma Kama ballistic zenye war head ya 1.5 ton. Hapo muhimu ni kafight ufiche watu wako muhimu government official Kwenye Mabunker lakin I long run watauawa TU Kama mtandao hautadhibitiwaHii vita Nampa Israel point irani kapoteana ndani ya mda mfupi mno
Watu wameua viongozi bado wanasaidia wananchi wenu wanataka only soldier aisee nyie mnalipua ovya bado amuwapati....
It means israel angekuwa katili angeua hao raia wote....
Mimi pia sioni US akiingilia hii vita kwa sabb ya maslahi yake apo middle EastIlishindikanika 1980-1988 kwa vita ya miaka 8 sembuse leo hii!?
Wacheni matani ninyi.
Upo desk gani mkuu Hadi usikie uongozi.Halafu wananafikina wao kwa wao, nasikia hao IRGC ndio walimuondoa uhai Ibrahim rais na wanatumika sana na magharibi
Yule ni baba wa mbinguni na huwa hasubiri tuzidiwe yuko na sisi siku zote😂😂😂 Bado hamna sema.
Kumbe mnajitoaga akili baba yenu sio wa mbinguni ni yule kule kwa Columbus
Dada yake netanyahu chaliHali inaendaje huko?
huyo ni ponjoro hakuna muamerica wa kushangilia missiles zinazo be interceptedUpo desk gani mkuu Hadi usikie uongozi.
Hao jamaa america mwenyewe kawavulia kofia
Hapo ndugu unahangaika na KIBWENGO hajui lolote zaidi ya kusifiasifia tu na kuwaramba makalio Iran mwanzonalikuwa bingwa wa kuwaramba makalio Hezbollah wa lipo pigwa na Israel sasa kahamia kuwaramba makalio Iran nao wamepigwa nafikiri sasa ataanza kuwaramba Houth!!Bro mbona Al Jazeera ishafukuzwa tangu mwaka juzi baada ya kua biased kila habari wako upande mmoja wa Hamas wakatimuliwa kwamba ndio umejua leo????
Habari zililetwa humu mamia ya raia wakiwa wamenasa wanavutwa.Awapi leta source, Kijana hayo hayajatengenezwa na maengeneer waliomalizia MUST
Iran Ina nuclear scientist wengi sana mkuu.Mimi pia sioni US akiingilia hii vita kwa sabb ya maslahi yake apo middle East
Pia hii Vita haina muda mrefu maybe one week ikizidi Sanaa mbili wakubwa watakaa kwenye meza za duara waweke mapatano Israel alicho kitaka amekipata Kwa asilimia maybe 50 Ku paralysis nuclear facilities na kuua top nuclear scientist karibu wote
Japo akili za Netanyahu anazijua mwenyew kichaa yule yupo tayali ku sacrifice maisha ya raia wake ili atimize azma yake kama ilivyo Gaza kwa sasa alivyo toa sadaka mateka for great cause
lolote linaweza tokea
Mshazidiwa tayari.Yule ni baba wa mbinguni na huwa hasubiri tuzidiwe yuko na sisi siku zote
Kobaaz busha acha mahaba ya masjid Iran ndege ya kupeleke Israel hana na wala hatokuja kuwa nayo ataishia kurusha vijikombora vidrones basi