SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Safari hii Mtanyooka tu Iran hawana chao tena walikuwa wanasifiwa sana kumbe debe tupu sasa hivi Israel inajipigia tu kama wapendavyo.

Kwa wananchi wa kawaida Tehran hapakaliki wanakimbia mji bila kupenda!!
Netanyahu kazeeka kwa siku 2 hizi wewe unapiga poyoyo tu... bora Iran alijua kuna kupiga na kupigwa ila nentanyahu anaomba mapumziko 😄
 
Hadi muda huu
1. Israel ameharibu missile launchers za Iran
2. Ameua makamanda zaidi ya 20
3. Ameua Wanasansi 9 wa nyuklia
4. Amepiga site za nyuklia Natanz & Isfahan
5. Amepiga HQ ya kijeshi ya Iran
6. Amepiga Depots za mafuta
7. Amepiga bunker maalumu ya viongozi
8. Amepiga uwanja wa ndege Muhimu
9. Amepiga kambi ya jeshi ya Iran
10). mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa na makamu wake wameuawa

Je Iran Hadi muda huu amefanikiwa Jambo gani la kimkakati ndani ya Israel?
 
14 wengine wamefyekwa Leo japo sina uhakika na source za habari kutoka twitter mpaka media kubwa Kama Al Jazeera BBC au CNN waki confirm
Hii vita mkuu imeshaingiliwa na propaganda.
Walidai kuwa Foreign ministry ya Iran iliifuata Qatar kuomba mediation,Iran foreign minister akakanusha hiyo taarifa.
Propaganda zishakua nyingi kwenye hii vita.
 
Mossad sasa hawajajificha wapo ndani kabisa pika pakua
Iran ina 'intelligence' dhaifu sana, yaani wameshindwa kabisa kuwabaini na kudhibiti harakati za mossad ndani ya ardhi yao.

Nadhani kuwepo kwa idadi kubwa ya wananchi wapinzani wasioupenda utawala wa Mamullah unachangia mafanikio ya harakati za Mossad kuihujumu Iran.

T14 Armata
 
Ishafanyika hiyo mkuu.
Hypersonic missile nyingi za Iran zina decoys pembeni yake.
Na hii tech ni ya Russia ndio maana huko ADs Za NATO hazifanyi kazi kwa Russia ndani ya Ukraine.
 
 
Hatar sana mkuu
 
Halafu kaka Iran mnavyomchukulia Wala sivyo hivyo.
Iran Hana ukichaa huo mkuu.
Na kama unataka ushahidi naweza kukuletea ya matukio mengi ambayo Iran alivumilia kwa busara zake licha ya alidhulumiwa.
 
Imeshakuwa kuwa ndo maana wannakimbia nchi wale walijiona ni wenye nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…