Usifikiri hatuoni na mbaya zaidi Iran hawaonyeshi kulivyochakazwa wanaonyesha Israel tuHaifa inateketea kwa moto wakuu.
Iran kafanya maangamizi yakutisha huko Haifa maana mji unawaka moto kila kona.
Muda huu vyuma vingine vinaendelea kushuka Occupied West Bank.
Aise Iran ni mbabe tuache propaganda za mashog,a kutuaminisha kwamba Israel ana mifumo imara ya ulinzi wa anga.
Imagine kama sio kukua kwa teknolojia maana yake tungekuwa bado tunapigwa kamba na propaganda za maghribi.
Hahaha dah mkuu umejua kunichekesha kwamba jamaa amepuliza pande zoteMaelezo ya huyu waziri kwa namna moja ama nyingine anahitaji sana mazungumzo yafanyike ya kusitisha hiyo vita; kwa sababu na yeye anaogopa kufa kama hao viongozi wengine.
Ameongea kwa lugha ya kiungwana sana bila kumkwaza yeyote.
😂😂😂😂Usifikiri hatuoni na mbaya zaidi Iran hawaonyeshi kulivyochakazwa wanaonyesha Israel tu
View attachment 3370440
Haifa inawaka Moto Iran Giza likiingia Tu anakua kichaaNi hatari aise. Hakuna cha THAAD wala Arrows 3 wala THAAD vyuma vinapita bila kupingwa mkuu.
This time Israel ameyatimba na atajuta kuingia kichwa kichwa akidhani ile ni Gaza.
Nadhani umejionea mwenyewe hali halisi ya mji wa Haifa ilivyo hivi sasa halafu unanibishia tena.Usifikiri hatuoni na mbaya zaidi Iran hawaonyeshi kulivyochakazwa wanaonyesha Israel tu
View attachment 3370440
Hawa Al Jazeera wana Agenda zao za SiriHaifa inawaka Moto Iran Giza likiingia Tu anakua kichaa
Mimi pia nipo natazama hapa usione unasimulia mazuzu wenzioNadhani umejionea mwenyewe hali halisi ya mji wa Haifa ilivyo hivi sasa halafu unanibishia tena.
Wewe kama una picha za Iran unaweza kuweka hapa maana BBC na CNN lazima wazioneshe.
Mimi nazungumzia ninachokiona muda huu pale Israel.
Umepanic mkuu?Usifikiri hatuoni Kenge wewe
Hahaha kwa nini mkuuHawa Al Jazeera wana Agenda zao za Siri
Mkianza kupigwa msije kusema anawaua Watoto na michozi mfululizo kulia kupokezana endeleaUmepanic mkuu?
Kipigo bado kinaendelea pengine usiku kucha.
Mazayuni hawajalala siku ya tatu mfululizo na hawatalala kwa siku kadhaa mbele hadi akili iwarudie.
Wanachowafanyia watu wa Gaza ndicho wanachopitia wao kwasasa.
Sasa kama unaona unabisha nini?Mimi pia nipo natazama hapa usione unasimulia mazuzu wenzio
Wanachowafanyia Gaza kimewageukia wao ili wapitie machungu wanayopitia wengine.Mazayuni wanaambiwa wahame mji haraka iwezekanavyo!
View: https://x.com/MonitorX99800/status/1934317676362448926
Unataka wafe watu wasio na hatia? Kila raia ana haki ya kuishi, awe mtanzania, muiran au muisraeli.Israel idondoshe kipande cha Nuclear hapo Iran ili moyo wangu usuuzike.