Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Au unahisi sielewi maana ya neno decoyMkuu, kama jambo hulielewi basi ujue haukukusudiwa wewe!
Kuna nukuu moja ya kitabu kiliandika: "ukiona kilichoandikwa haukielewi, basi haukukusudiwa wewe".
Wenye uelewa wa nilichokiandika wamekwisha kielewa nilichokiandika awali.
Nimesema yamepenya yote?Acha uongo yaani missiles zote takribani 50 zipenye Israel halafu bado majengo yawe yamesimama huwa yana be intercepted tena mengi yao, tuma video hapa maneno hayavunji mfupa
Ninafuatilia hiyo mbungi kupitia CBS news kijana.
Yapo makombora yanayopenya.
Habari hufuatilii peke yako.
Unatumia dish gan? Hiyo channel namba ngap?Ninafuatilia hiyo mbungi kupitia CBS news kijana.
Yapo makombora yanayopenya.
Habari hufuatilii peke yako.
Japo umebisha ulichokisema ila makombora yanayopita na yanayozuiwa huwa tunayaona uzuri ni angani haihitaji hata usogelee, na kama waandishi hawaruhusiwi we umejuaje kwamba huwa hayazuiwi,Nimesema yamepenya yote?
Pia je hao waandishi wa habari wameruhusiwa kuchukua picha za karibu!?
Embu Israel iruhusu waandishi wachukue matukio ya karibu uone.
Mtumie mkuu,ningekufahamu tungeshirikiana katika huo mchango 😀😀Mwanangu comment yako nimeipenda kichizi yani ngoja nikasukume mkokoteni jioni nikutumie hela ya soda
Ngoja kwanza afe ndio uje kuongeaUnadhani Ayatollah akishakufa ndio Israel itapata nafuu!?
Pole sana, bado haujajua Israel imeingia mkenge kiasi gani kuanzisha vita na Iran.
Kupenya yanapenya ila machache, hasa sisi tunatumia BBC news or Al Jazeera tunayaona ila so mengiNinafuatilia hiyo mbungi kupitia CBS news kijana.
Yapo makombora yanayopenya.
Habari hufuatilii peke yako.
BBC hata vifusi cya Israel hawaoneshiWatu Taarifa mnapataga wapi surely..
Kunawaka moto kunawaka moto.
Mnashabikia vita kama mpira?
Kwa taarifa yako % zaidi ya 90 ya makombora yanayorushwa na Iran yanazuiliwa.
Fuatilieni taarifa kwenye vyombo makini kama BBC wapo live muda wote acheni uzwazwa.
Iran asilegee hata kidogo,akazie hapohapo,,wamtambue kwamba yeye si akina Iraq, Syria nk nkbado napata shida na ubora wa Israeli ninapoanza kuona mataifa makubwa yanapoanza kujisogeza kumsaidia.
Uwezo wake tunaoambiwa tunashindwa kuuona sasa ilihali Iran ameishi na vikwazo vikali toka miaka ya 1970 huko.
Waarabu wanapaswa sasa kuacha unafiki na kusimamia kitu kimoja ili hawa jamaa waache kuharibu mataifa yao kwa kulazimisha wanachokiamini.
Iraq, Libya, Syria, Lebanon nk zimeharibiwa sana na kuachwa taabani na hakuna amani tena ilihali huko kwao hawa jamaa wanaishi kwa utulivu na kuendelea.
Chunga usije ukafa kabla yake, nikaja kuongea humu kumbe haupo.Ngoja kwanza afe ndio uje kuongea
Ayatollah aliwe kichwaJapo umebisha ulichokisema ila makombora yanayopita na yanayozuiwa huwa tunayaona uzuri ni angani haihitaji hata usogelee, na kama waandishi hawaruhusiwi we umejuaje kwamba huwa hayazuiwi,
Mbona hata Iran kwake anaficha, ila Iran nasikia mji unabaki mweupe ili IDF wapige wanapotakaBBC hata vifusi cya Israel hawaoneshi
Huyo Ayatollah wiki hii haiishi analiwa kichwa utasema nilisemaChunga usije ukafa kabla yake, nikaja kuongea humu kumbe haupo.
Hujui maana ya decoy, kwenye mpira, decoy ni yule mchezaji anayezuga kupewa pasi anakimbia kuelekea golini,nyi mnaweka mtego wa offside,pass anachomoka nayo mwingine ambaye hayupo offside,mnagongwa chumaSio decoy ni missiles hakuna confirmation kwamba kuna decoys zimerushwa hadi sasa
Sawa!Huyo Ayatollah wiki hii haiishi analiwa kichwa utasema nilisema
Hata me ndio kitu natamani ona hizi nyingine ni mbwembwe, uchebe ule usifike sabasabaAyatollah aliwe kichwa
Ayatollah wanamuua soon and very soon, Israel mtoa roho za watu kwanini walimuita Israel mtoa roho?Mbona hata Iran kwake anaficha, ila Iran nasikia mji unabaki mweupe ili IDF wapige wanapotaka
Oya nimeshasema Ayatollah wiki hii hatoboi wanamfyekaSawa!
Wewe una uhakika wiki hii utamaliza?
Ukimuua ayatollah unapata Nini?..mtu ana miaka miaAyatollah wanamuua soon and very soon, Israel mtoa roho za watu kwanini walimuita Israel mtoa roho?