SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

President Donald Trump said he believed it’s possible Israel and Iran could reach an agreement to end their conflict, though the two sides may need to continue fighting before they’re ready to broker a peace deal.
 
Nimesema yamepenya yote?
Pia je hao waandishi wa habari wameruhusiwa kuchukua picha za karibu!?
Embu Israel iruhusu waandishi wachukue matukio ya karibu uone.
kwani iran inaruhusu waandishi wa habari?
 
Iran kachafukwa huko Israel anapeleka sana usiku
 
IRGC Missiles zetu zimepiga target kote huko Israel hata kama USA anamsaidia Israel kumpa Air defense system zilizo kuwa za kisasa na kumsaidia kuziangusha Missiles zetu
 
Mbona utangulizi wa huu uzi na hitimisho vinakinzana. Mwanzo ni kuwa kiwanda cha Israel cha drones kimevamiwa, aya ya mwisho inasema drones ziliingizwa Iran kimagendo.
 
Mbona utangulizi wa huu uzi na hitimisho vinakinzana. Mwanzo ni kuwa kiwanda cha Israel cha drones kimevamiwa, aya ya mwisho inasema drones ziliingizwa Iran kimagendo.
Soma tena vizuri neno kwa neno uelewe au omba mkalimani
 
Kweli Iran ni baba lao, wamefanya yaliyoshindikana na yaliyoonekana hayawezekaniki!

Huko Israel umeme umekatwa kama Ukraine tu baada ya kituo cha kuzalishia umeme kufumuliwa vibaya na Iran, na sasa naona Iran wanapiga maeneo nyeti tu.
Sio mchezo.
 
Huwezi kukosa upande. Hiyo ni nature. Vitu vinakuja kwa pair baba. Jua kwa mvua, usiku na mchana, kulia na kushoto.
Iran hata ikipigwa hiyo respond waliyofanya kwa mazayuni imeonyesha uwezo mkubwa sana. Hata wao israel hawakutegemea majibu ya kiwango hicho.
 
Basi nchi iko uchi hiyo, mpaka wamejenga dude lote hilo wao walikuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…