SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Tumieni source official yaani watu wanahama na saivi zaidi ya 1100 wamejeruhiwa na vifo zaidi ya 220 halafu unasema wanaishi maisha normal kisa mtu kapost tweeter tena ukute ni mhezibollah anatumia ile pagers yake ambayo haikulipuka kipindi kile
Unaoyaona yanatokea Iran basi Israel mara kumi yake.
Asubuhi hii wanatwangwa tena.
Na soon Israel inaonekana kutokukalika tena raia washaanza kutafuta passport zao za uraia pacha wanaikimbia Israel.
Safari hii Israel kayakanyaga.
Na Iran kasema hatoachia bomba ngoo.
 
Kwahiyo Iran ni Zuchu ila watu wa Israel wamekimbilia kwenye mahandaki ili kumkwepa Zuchu? Unaamaanisha Israel ni dhaifu kiasi hicho cha kumkimbia zuchu na kujificha chini ya ardhi kama panya?
Vita sio kupiga piga Tu majengo vita haipiganwi hivyo

Nilikua nategemea military base,
Maeneo ya kimkakati(office kubwa za gavo viwanja vya ndege,bandari viwanda nk)hapo ningejua wanapiga panapo uma
Fighter jet zingekua zinadumguliwa Israel angetetemeka
Ila unapiga apartment ya watu tena wapo kwenye bunker unajisifu????

Vita ni sanaa Iran sio Tu zuchu ni amber luthi
 
Daaah binafamu tumekosa utu na huruma Kwa raia, Ina faida gani Kwa pande zote?
 
Hizo taarifa zako zingekua ni Aljazeera au BBC ningekujibu ila kwa kuwa wewe ni kibaraka wa Iran unaleta propaganda za uzandeki....
Eti Iran anajipigia kiulaini...wapi!? Waaapi!?
Hizi taarifa ndo naziona kwako JF ila Aljazeera naona tu Iran inavyokula kichapo...
Mpaka sasa Israel wamekufa watu 10, ila Iran zaidi ya watu 400
 
Mnafalijiana kizembe Sana hahahahaha
 
Yani wewe ndo wakumfundisha Iran vita?

Kwa sasa Iran anashusha majengo tunachotaka kukiona ni Israel ikifanana na Gaza
 
Kuna nini my mkuu mbona unahema kwa hasira hivi
 
Mkuu Israel imedhibiti utoaji taarifa Yani uko limited.
Hata BBC correspondents ambao walikua wanapiga hadi picha za mitaani wote washazuiliwa.
HUWEZI ukapata habari ya uhakika.
Ila soon wenyewe wakichoka watageukana.
Mfano vita ya Hamas walidanganya askari waliokufa ni 139 kumbe ni zaidi ya 5000 na walidanganya majeruhi ni 1000+ kumbe sio tu majeruhi Bali ni CRIPPLED SOLDIERS WA IDF NI elfu kumi na mbili .YediothAhronoth ndio walikuja kutoboa Siri
Israel inajitahidi sana kuzuia habari ili kutuliza taharuki.
Ila raia wao soon watamwaga Michele kwenye kuku wengi kama ilivyo vita ya Hamas.
 
Mara nyingi hii mifumo ipo kwa ajili ya kupunguza madhara na siyo kuzuia kabisa
 
Tunapoongea hadi sasa mkuu ofisi nyingi za kiserikali hapo Israel ndani ya Tel Aviv ni nonfunctional.
Ila ndio hivyo barrier ya kubeba taarifa inazuia kupata taarifa nyingi.
 
Kwamba Israel hana hiyo technology ya long range missile Mzee??
 
Kwamba Israel hana hiyo technology ya long range missile Mzee??
Ubishe ukatae hata hao mabwana zenu wazungu wanasadiki kuwa Middle east missile power iko Iran.
Ndio maana wanamshinikiza kwa vikwazo vya uundaji silaha Kila siku.
Iran inaunda makombora pamoja na North Korea usiifananishe na Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…