Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,103
- 7,102
Hahaha unajidanganya onesha picha ya kambi zilizo pigwa za IranIran wanasema ukweli, Israel wanaficha, hayo unayoona yametokea makazi ya watu ni sehemu ndogo sana, mashambulizi mengi ya Iran yanapiga sehemu za kimkakati..
Hata gaza mlianza kwa kusherehekea...ila mwisho wake mkalia...
1-Kwanini umeme umekatikaTel Aviv tuanzie hapo..We umejuaje Kama imepigwa tuanzie apo
Iran hana hatia!? Wairan wote wafe tuKwahiyo wewe ukafurahia mauwaji hayo? Kwa wasio na hatia?
Makombora yakirushwa mengi kwa wakati mmoja iron dome haiwezi ku intercept yote...machache lazima yapenye!
% kubwa yanafanikiwa kuwa intercepted, sasa jiulize bila iron dome na ule mfumo david nn sijui hali ingekuwaje huko Israel?!
Kingine nimeona kwenye hii vita Israel wako na target zaidi kuliko Iran...hata jana jpili wameua tena ma generali wa3 wa jeshi la Iran na afisa m1 mkubwa wa intelijesia.
Ukiacha shambulio la alfajiri asubuhi hii Israel hajashambuliwa, labda Tehran ndo HQ ya polisi imegeuzwa kifusi dakika chache nyuma, raia wa Israel watabaki sababu serikali yao iliandaa mazingira ya nyakati kama hizi, nasikia Ayatoulah anateua kureplace waliouawa ila anakowateulia hapajulikani maana yuko mafichoniUnaoyaona yanatokea Iran basi Israel mara kumi yake.
Asubuhi hii wanatwangwa tena.
Na soon Israel inaonekana kutokukalika tena raia washaanza kutafuta passport zao za uraia pacha wanaikimbia Israel.
Safari hii Israel kayakanyaga.
Na Iran kasema hatoachia bomba ngoo.
Mkuu kambi ya jeshi kwa hypersonic ni mkate, hypersonic ni chai, lazima mkate ulainike mbele ya chai... hata uwe mgumu..Hahaha unajidanganya onesha picha ya kambi zilizo pigwa za Iran
Both sides wanadanganya
Awapi yule anarusha ballistic sema some ni cruise ballistic missiles hajarusha hypersonic we unazisikia hypersonic au wazijua halafu ukileta taarifa kama hizi leta na source mambo ya kujitungia mwenyewe utakula ban1-Kwanini umeme umekatikaTel Aviv tuanzie hapo..
2-Makombora ya Iran ni hypersonic, kuna mfumo wa kuzuia hypersonic missiles?
3-Iran ilishalenga kambi za US pale Iraq, kambi ya jeshi ina ADs bora kabisa, iliwezaje Iran kupiga na bado mapema waliwapa taarifa tunapiga kambi muda fulani..?
4-Kwanini Netanyahu alikimbia nchi?
Hakuna picha labda kichwa cha Ayatoulah maana hadi tuuangushe ule utawala ndio tutatuliaMkuu kambi ya jeshi kwa hypersonic ni mkate, hypersonic ni chai, lazima mkate ulainike mbele ya chai... hata uwe mgumu..
Tutaanza kupata picha siku zijazo..
Hahaha nilivyo ona Tu swali namba four kwa nini Netanyahu alikimbia nchi nimeishiwa na majibu ya maswali yote1-Kwanini umeme umekatikaTel Aviv tuanzie hapo..
2-Makombora ya Iran ni hypersonic, kuna mfumo wa kuzuia hypersonic missiles?
3-Iran ilishalenga kambi za US pale Iraq, kambi ya jeshi ina ADs bora kabisa, iliwezaje Iran kupiga na bado mapema waliwapa taarifa tunapiga kambi muda fulani..?
4-Kwanini Netanyahu alikimbia nchi?
So unafanya speculation hahahahaMkuu kambi ya jeshi kwa hypersonic ni mkate, hypersonic ni chai, lazima mkate ulainike mbele ya chai... hata uwe mgumu..
Tutaanza kupata picha siku zijazo..
Hata humu ukijifanya unatuma updates zinazoumiza mioyo ya wayahudi unaweza kupotezwa. Jamaa huwa hawana mchezo na mtu yeyote popote duniani.Umemaliza kila kitu wala siwez ongeza wala kupunguza neno
Netanyahu mbona yupo Tel Aviv na hata jana alifanya ziara kuwatembelea waathirika, mwambie atupe location ya ayatolah kuna 10 ya vochaHahaha nilivyo ona Tu swali namba four kwa nini Netanyahu alikimbia nchi nimeishiwa na majibu ya maswali yote
Ili uwe analyst mzuri unatakiwa kukusanya taarifa nyingiiiiii kisha uchuje uje na taarifa za uhakika
Sasa umuue mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa Tanzania,inakusaidia Nini vitani!?Israel anapopoa viongozi na sehemu ya kitambo ya nyuklia pamoja na depot za mafuta
Hekima ya nini!?..acha pawakeHekima inahitajika
Iran itafutwa asee tuache utaniHekima ya nini!?..acha pawake
Anayo aitoe wapi?Kwamba Israel hana hiyo technology ya long range missile Mzee??