SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ngoja niwaletee update ya kilichotokea usiku mpaka morning ya leo
 
Netanyahu mbona yupo Tel Aviv na hata jana alifanya ziara kuwatembelea waathirika, mwambie atupe location ya ayatolah kuna 10 ya vocha
Alipo andika Tu Iran inatumia hypersonic missile nikajua tayali tusha Anza danganyana apa
 
Kosa la nchi za NATO ni kuchokoza nchi za urussi na china ...Iran nyuma yake yupo mrusi na china kamwe NATO awawezi kushinda vita labda watumie njia ya fitina za kisiasa za kufanikisha mafarakano ya wairan wao kwa wao na kuipindua serikali.
 
Hata threads wanafunga akaunti zinazotoa taarifa zinazoonesha Israel kubondwa
Hii ndio dunia. Wayahudi ndio wamiliki wa social media na media kubwa duniani moja KWA moja au kinyumenyume. Hapa tusitarajie kipya zaidi ya kuona za Iran ikichakazwa. Hata zilizoachiwa ziliachiwa kimkakati ili wao wakianza mojakwa moja au KWA kufanyiwa na NATO tusishangae.
 
Kosa la nchi za NATO ni kuchokoza nchi za urussi na china ...ioani nnyuma yake yupo mrusi na china kamwe nato awawezi kushinda vita labda watumie njia ya fitina za kisiasa za kufanikisha mafarakano ya wairan wao kwa wao na kuipindua serikali.
Russia siiamini labda china. Mossad wanaweza kufyeka viongozi wake wote akiwemo Putin . Hawa jamaa wamebobea kwenye assassinations
 
Reports in Iran: At least 5 "key personnel" in the Revolutionary Guards were killed in the Israeli attack on the Khorramabad missile site.
 


The USS Nimitz (CVN-68) and its strike group are now moving toward the Middle East, joining the USS Carl Vinson and the UK’s HMS Prince of Wales.

If confirmed, that places three powerful aircraft carriers within striking distance of Iran’s shores — a clear signal that the West is preparing for whatever comes next.
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
🇮🇱🇮🇷The aftermath of Iranian ballistic missiles hitting Tel Aviv and the city of Petah Tikva.
 
Nime uliza swali kwa mdau yule we bibie tayari Usha lowa uko nyuma mm sio mfimbaji tafuta bwana mwengine wa kumpitisha uko topeni
Sasa hasira yako na kutukana matusi ndo itasaidia Israel isichakazwe na Iran?
 
The wave of attacks now focuses on:

Islamshahr, Tabriz, Tehran, Bidkaneh, Rey, Shahriyar, Ahvaz, Karaj and Mashhad.
 
Wachambuzi wengi tu duniani wanachambua vita hadi YouTube wengine wazungu wanaponda Israel...
 
Iran’s Police Chief, Sardar Radan, was reportedly assassinated in an Israeli operation.
 
Carrier ni vyuma vinavyoelea, easy Target, USA ilibidi aingie makubaliano na houthi,wanaenda ongeza nguvu ya kudungua makombora ya Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…