Mbinu ya kuua kiongozi mmoja mmoja inakua na faida ndogo au kubwa kwa kutegemea msingi wa mgogoro ulivyo kama urusi wakimuua huyo mtu kesho nafasi yake anapewa mwingine .....hakuna kitu cha maana hapo ...mauaji ya hivyo yanakuwa na tija tu taifa linapokuwa na fitina za kisiasa ndani kwa ndani..... kwa ukrain ni tofauti TAIFA LIPO KATIKQ KITU KINACHOITWA NATO STATE CAPTURE...raia wa Ukraine awana cha kuamuaNaamini huyu mwamba
Kyrylo Oleksiiovych Budanov mkuu wa intelligensia wa Ukraine wangeshamuua. Maana wamewahi Hadi kuisambaratisha KWA Kinzhal ofisi yake lakini jamaa Bado anadunda tu na NDIYE wanamtuhumu KWA kuratibu hujuma nyingi ndani ya Russia KWA msaada wa NATO.
Hao ni Israel,false flag USA aingie mazima, maana wao wameshindwaUbalozi wa US umepigwa na makombora ya Iran, Tel Aviv..
Official statement..
Top officials karibu nchi zote ni 60+Umeuona ukweli,alioua wote ni 60+
Mabwawa ya maji ya kunywa na chemba za mavi ni shabaha za kijeshi?..hao raia 200+ waliokufa walikua jeshini?naona utofauti wa upigaji wa Isareal na Iran,Israel anapiga military targets Iran anapiga reidential areas..
Hamna kitu nataman kama makamanda wangu wa US waingie mzigoni apo middle East patachangamka within a week wa Arab watakaoingilia watanyolewa ndevu Kwa chupaHao ni Israel,false flag USA aingie mazima, maana wao wameshindwa
Kwa mfano kama Israel wanauhakika wa kuuua viongozi wote wenye ushawishi akiwemo Rais na Ayatollah, hapohapo akamaliza magenerali wote na millitary thinktank wa Iran huoni ni rahisi Jeshi kucolapse na hata kikao cha kupachika wapya kikashindikana na Serikali kuanguka.Mbinu ya kuua kiongozi mmoja mmoja inafaida ndogo kwa kutegemea msingi wa mgogoro ulivyo kama urusi wakimuua huyo mtu kesho nafasi yake anapewa mwingine .....hakuna kitu cha maana hapo ...mauaji ya hivyo yanakuwa na tija tu taifa linapokuwa na fitina za kisiasa kwa ukrain ni TAIFA LIPO KATIKQ KITU KINACHOITWA NATO STATE CAPTURE...raia wa uirain awana cha kuamua
Israel wamewafuatilia nyendo za hao viongozi muda mrefu,waka improvise njia za kuwaua,lakini siamini ukiua mkurugenzi mkuu TISS,cdf jwtz,raisi,makamu wa rais,wakuu wa vikosi basi tz inakua kwishnehi,si kweliKwa mfano kama Israel wanauhakika wa kuuua viongozi wote wenye ushawishi akiwemo Rais na Ayatollah, hapohapo akamaliza magenerali wote na millitary thinktank wa Iran huoni ni rahisi Jeshi kucolapse na hata kikao cha kupachika wapya kikashindikana na Serikali kuanguka.
Mfano nimeona watu kadhaa prominent wanapanda gari ZAO zinawalipukia. Yaani Israel wanatumia ndege, ugaidi, hujuma, assassinations KWA mkupuo huku Iran wao wanatumia njia moja tu ya makombora.
Ingawa impact KWA Israel ni kubwa ila akipata Support ya west Iran inaonekana Iko uchi KWA Israel wataangusha Serikali kabisa.
Hiyo mbinu ina faida kwa kutegemea aina ya mgogoro ulivyo ....mfano kwa urusi uwezi kuitumia ukapata faida ya maana kwa kuua viongozi wa urusi maana ukiua wanakuja wabaya na wenye uwezo zaidi ....marekani yenyewe inaogopa putin kuondoka madarakani unajua kwa nini ?Kwa mfano kama Israel wanauhakika wa kuuua viongozi wote wenye ushawishi akiwemo Rais na Ayatollah, hapohapo akamaliza magenerali wote na millitary thinktank wa Iran huoni ni rahisi Jeshi kucolapse na hata kikao cha kupachika wapya kikashindikana na Serikali kuanguka.
Mfano nimeona watu kadhaa prominent wanapanda gari ZAO zinawalipukia. Yaani Israel wanatumia ndege, ugaidi, hujuma, assassinations KWA mkupuo huku Iran wao wanatumia njia moja tu ya makombora.
Ingawa impact KWA Israel ni kubwa ila akipata Support ya west Iran inaonekana Iko uchi KWA Israel wataangusha Serikali kabisa.
Ngoja tuone mwisho wa hii kituIsrael wamewafuatilia nyendo za hao viongozi muda mrefu,waka improvise njia za kuwaua,lakini siamini ukiua mkurugenzi mkuu TISS,cdf jwtz,raisi,makamu wa rais,wakuu wa vikosi basi tz inakua kwishnehi,si kweli
Iran Wana limited number of Ballistics missiles, Ndio maana wanatarget maeneo ya makaziDuu siku mbili tu je ikiwa mwezi si panakua gaza
Putin anabusara kuliko MedvedevHiyo mbinu ina faida kwa kutegemea aina ya mgogoro ulivyo ....mfano kwa urusi uwezi kuitum8a ukapata faida ya maana kwa kuua viongozi wa urusi maana ukiua wanakuja wabaya na wenye uwezo zaidi ....marekani yenyewe inaogopa putin kuondoka madarakani unajua kwa nini ?
Ayatollah ni kiongozi wa kidini na ndiye kiongozi mkuu. Supreme leader.Anaesaini makubaliano ni Masoud sio Ayatollah.
Ayatollah ni kiongozi wa dini sio kisiasa.
Muue Ayatollah uone maafa yake.