SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Moderators wameuua uzi wetu kwa makusudi na wameuleta huku!

Na wamefuta baadhi ya comments zangu.

Mwenye huu mtandano ni nani?
 
Aisee, uzi wetu umepewa hadhi, upo LIVE na badge nyekundu kama ule wa Russia, kongole sana kwa mods na mkuu kimsboy nadhani huu ndio uzi umechangamka kwa sasa kuhusu hili suala la mashariki ya kati vita kati ya Iran na Israel..
 
Idf
 

Attachments

  • IMG_20250616_095825_492.jpg
    82.1 KB · Views: 16
Izo base zina wanajeshi wawili wawili wala zisikutishe, hakuna base yenye hata Balistic moja zote ni kwa ajili ya kupiga umbea.
We hao jamaa wanavyopenda sifa izo base zingekuwa na fikaa ungejua tu
 
Iran imeua wanajeshi wengi na kutungua ndege mbili na kuwakamata mateka marubani wao, mleta mada ni Mpenzi wa wayahudi ndiyo maana kaegemea propaganda za wayahudi kumbe ukweli warabu wamewachakaza sana ni kipigo kweli
 
Iran atachakazwa mdogo mdogo mpaka aishe, subiri revange bab kubwa dunia itashangaa zaidi!
 
Propaganda ni mbinu za kuwadanganya dunia kuwa iran kaumia sana wakati na yeye kawachakaza kimyama
 

Israelis ‘now realising’ what Palestinians and the Lebanese have been suffering​



Elijah Magnier, a military and political analyst

“I think it’s going to continue escalating because we are just on the first days of the war that Israel declared on Iran,” he told Al Jazeera.

“And also the Israeli officials, the prime minister and the army, have all warned Israeli society that this war is going to be heavy and is going the price is going to be extremely high. But the society that stands behind Benjamin Netanyahu and supports the war on Iran did not expect this level of destruction, because since 1973, Israel has not waged a war on a country and never been attacked in this scale, right in the heart of Tel Aviv,” Magnier said from Paris.

“So now they are realising what the Palestinians have been suffering, what the Lebanese have been suffering, and they see the destruction in front of them, buildings in Tel Aviv, in Haifa destroyed, fire everywhere. The properties no longer exist. Eight people killed, 250 wounded in one day. That’s unheard of since a very long time in Israel. So all that is not something that the Israeli society has been ready for,” he added.



source-aljazeera

Kwamba hata wale ambao walimuunga mkono Neta kwenye hii vita kati yake na Iran, hawakutarajia kama kutakuwa na uharibifu mkubwa kiasi hiki..

Israel sasa wanapata picha halisi ya nini kilikuwa kinawakuta Gaza na Lebanon, next time wakisikia kiongozi wao anataka vita na nchi flani, wataandamana kupinga..
 
Ona huyu!
Iran imepigana vita ya MIAKA 8 kuanzia 1980-1988 ishindwe vita ya miezi??
Embu msome msije kutia aibu humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…