SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Katika hao chawa waliomzunguka Iran bakuna mwenye ubavu wa kurusha hata punje ya mchanga kwenye ardhi ya Iran hao anaweza kuwafuta ndani ya siku mbili
Hata wenyewe wanajua hilo. Ndio maana wamejitenga makusudi Hadi Iran itepete kwanza.
 
Marekani washaanza kutaguta sababu ili waingie vitani.
 
Trump akiingia base za US middle East zinakaangwa kama mihogo..
Iran wanasem hawajaanza kutumi advaned weapons ambazo dunia haijapata kuziona..
πŸ˜‚πŸ˜‚ vita inapropaganda hii nchii ambayo mpakaa mkuu wa majeshi, mshauri mkuu wa kiongozi mkuu wa nchi mkuu wa islamic state scientist mahili wa nyuklia na base za sili za nyuklia vinauliwa simple namna ilee inawezaje kua na advanced weapon ambazo akuna nchi imewai kuziona just tumia kufikilia kikawaida tu apoo mkuu
 
Wanawezaje ua hawa watu tena wakiwa nchini Iran? Inawezekana vipi? Tuendelee kumswalia mtume.
 
Hizo Hypersonic tu walizonazo Iran ambazo zinapita juu ya nchi 3 ambazo zinaisaidia Israel kuyatungua lakini bado zinafika Israel hadi Iron Dome na Air defence system zote za Israel zimechanganyikiwa na kushindwa kuzizuia na kufanikiwa kupiga target ni Advanced weapons za Iran ambazo hazijawahi kushuhudiwa, kama umewahi kuzishuhudia eleza umezionea wapi.
 
Kwa kweli ni ukweli wamefanikiwa ila shida hio eulporia is short lived kwa kuwa na wao wamepigwa kisawa sawa acha waendelee kupambana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…