SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Yaani mkuu Hawa jamaa sijui akili zao zipoje? Wanajifariji ujinga na ajabu hadi mishipa inawasimama Hulu wakijua kabisa wadangaya nafsi zao😂
 
Wewe upo
Wewe upo wapi kwa sasa
😂 😂 😂 😂 😂
 
Kwanini lisiwezekane?
Mbona una ufinyu kwenye upembuzi mkuu!?
Hao makamanda wanauliwa kwa mashambulizi ya kuvizia na ni jambo ambalo linawezekana.
Kuua kwa kuvizia kupitia mashushushu na kushambulia kwa silaha ni mambo mawili tofauti.
Shida unajadili mambo yalo kuzidi uelewa
 
Kobazi nimerudi hawa tunawatandika mchana jioni mchana..
Walichezea sharbu za Thimba ngoja
 
Vita inaisha kama Irani aki stand down sababu vita hii haina manufaa makubwa kwao tofauti na Israel.
Israel wanataka vita hii iendelee zaidi ili kumaliza nguvu za Irani kabla hawajafanikiwa kuzalisha bomu la atomic.
Kwa hiyo hizo akili za kujua hayo uwe nazo wewe unaekaa homboza ila wairan wenyewe hawalijui ilo si ndio?
 
kwani wanaoingia ni mosaad au hao hao wanaofanyakazi kwenye hizo nucler site? au huelewi maana ya kuweka mapandikizi?
 
kwa nini na wao iran wasilipize kwa kuvizia kuua makamanda wa israel kama inawezekana?
 
Wadau hamjamboni nyote, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, 22 minutes ago
Iran criticizes European response to Israeli strikes

Iran’s Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei on Monday urged European countries to focus on halting Israeli attacks, calling their response insufficient and politically inconsistent.

He added that Germany, France, and the United Kingdom “should have clearly condemned” Israel’s attacks, especially those on "Iran’s peaceful nuclear infrastructure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…