SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Iran ni Taifa la kishetani tunataka liangamizwe. Lakini amini nakwambia vita hii ni ngumu.
IRAN TAYARI WANALO BOMU LA NYUKILIA
NETANYAHU SIO MWEHU ANACHOFANYA Nİ KUMPIGA ADUI KABLA HAJAKUMALIZA NA NDICHO ANACHOFANYA ANALENGA MAENEO YOTE YENYE POSSIBILITY YA KUWA NA HUO MZIGO.
 
Ashkenazi hawana uhusiano na yakobo, ni jews kwa kubadili dini na sio jews kwa asili.

Tafiti kibao za Kisayansi kuhusu genetic zao zipo na mahala asili yao ilipo ni maeneo maeneo ya juu ya Iran na Uturuki kuelekea Georgia, hawana feature zozote Za middle east.


At same time jews wengine kama Mizrahi, Sepharadic, Samaritan pamoja na Waisilamu na wakristo wanaoishi Levant Dna zao ndio zinaonesha ni descendant wa Wayahudi wa zamani.
 
Sio kweli leta source official, na usinireply mimi kwa video unazotoa TikTok unless iwe ni account ya chombo cha habari kinachoeleweka
of course si habari njema kwako, kisaikolojia lazima uwe kwenye style ya denial, Ayatollah amesha ji exile zamaani.

The scale of Israel’s strikes on multiple, sensitive Iranian military and nuclear sites on Friday was unprecedented. It was the biggest attack on Iran since the Iran–Iraq War in the 1980s.
As expected, Iran responded swiftly, even as Israeli attacks on its territory continued. The unfolding conflict is reshaping regional dynamics, and Iran now finds itself with no easy path forward.
 
Si hadi tuuangushe ule utawala na tuhakikishe ule uchebe umerudi mavumbini kwa makombora yetu wenyewe, kuhusu taarifa na kubali hata kama ni mbaya ila source ziwe za kueleweka na kuaminika
 
Si hadi tuuangushe ule utawala na tuhakikishe ule uchebe umerudi mavumbini kwa makombora yetu wenyewe, kuhusu taarifa na kubali hata kama ni mbaya ila source ziwe za kueleweka na kuaminika
Endeleeni kujidanganya.
Huo utawala ili uangushwe maybe USA and allies waingie Moja kwa Moja vitani kama ilivyo Libya.
Ila sio kwa mtindo huu.
Kwa mtindo huu soon Israel inatema bungo kama nyani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…