jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 644
- 1,360
And you black man, a slave, poor, empty minded..you will always bow down to your slave master forever! Better shut up your ruthless mouth as it pour out rubbish!!Wafuasi wa Putin wa kuupuzia tu. Hawa watasujudi tu kwa mungu wao Vladimir daima milele. Deaf ,dump and blind they comprehend nothing-Al bakarah 2 171.
Uchambuzi wa kipuuzi huu, vita ya mwezi mmoja ifilisi nchi kama Russia? Nenda google mpaka hana EU wanalipa kiasi gani kwa nushati ya Russia? Umevimbiwa mihogo conclusion za ajabu, Pumbavu
Nani kakwambia mwezi mmoja? unajua vikwazo zinaisha lini? unajua ndani ya mwezi mmoja Urusi kaathirika kwa kiasi gani kwa vikwazo alivyowekewa? unajua uchumi wa Urusi unategemea nini hasa? na ni watu gani hasa ndiyo wateja wake wakubwa? Unajua kipi kimemsukuma Putin juzi kasema kwamba kila anayenunua old na gesi yake ni lazima alipe wa hela ya kirusi unafikiri ni kwa nini? unafikiri bila kufanya biashara na EU, US na UK mbeleni je Uchumi wa Urusi hautaathirika ?Uchambuzi wa kipuuzi huu, vita ya mwezi mmoja ifilisi nchi kama Russia? Nenda google mpaka hana EU wanalipa kiasi gani kwa nushati ya Russia? Umevimbiwa mihogo conclusion za ajabu, Pumbavu.
PUT IN ni RAIS wewe nani?Mwambieni Yerrico huko aliko ni kwamba Putin alivyosema leo eti gesi na mafuta yake yatanunuliwa tu kwa hela yao ya ndani - ni kichekesho. Kwanza hela yenyewe hata mie siijui..afu kuna mikataba wazi kwamba watalipa kwa uro na dola.
Wakuu yaani hela yao haijulikani jamani.. yaani Putin ashaanza kunyooka, tunzeni post hii
G7, US, Nato leo walikuwa na kikao...jamaa hachomoki...
You can not exist in this world on ur own...eti China maweeeee
Sababu kuna mikataba kwamba watalipanlwa kwa uro na dola tu ....labda kama kuna mikataba mipya.
Mwambieni kauli za Rais si sheria..labda kwa hapa Tz.
Unajizima data sio?watoto wawili wanajipungia mkono maana hao hata ndege zikipita juu huwa wanapinga Leo mnaandika eti raia wa UKRAINE?Wa Ukrainian sio wanafiki wamesimama na Raisi wao hata mlivyomuona Ni comedian wapo naeWatoto ndio hawawezi kudanganya sasa
Uchambuzi wa kipuuzi huu, vita ya mwezi mmoja ifilisi nchi kama Russia? Nenda google mpaka jana EU wanalipa kiasi gani kwa nishati ya Russia? Umevimbiwa mihogo conclusion za ajabu, Pumbavu.
Mbona hiyo propaganda ni ya kitoto sana, wambie wa Africa tumesha elimika hatudanganyi tena kwa kuona TV zaoAskari wa vifaru wa Urusi walioko Ukraine wameanza kuuza vifaru kwa Jeshi la Ukraine kwa dola elfu 10 kila kifaru na kujisalimisha kwa Jeshi la Ukraine
Source:France24
Aiseee njaa mbayaAskari wa vifaru wa Urusi walioko Ukraine wameanza kuuza vifaru kwa Jeshi la Ukraine kwa dola elfu 10 kila kifaru na kujisalimisha kwa Jeshi la Ukraine
Source:France24
ha ha ha haAskari wa vifaru wa Urusi walioko Ukraine wameanza kuuza vifaru kwa Jeshi la Ukraine kwa dola elfu 10 kila kifaru na kujisalimisha kwa Jeshi la Ukraine
Source:France24
Embu ngoja kwanza nichekee! Rais Zelensky ndie mkweli sio takataka zingine? Mwezi mzima watu wapo ndani kwako wanakutandika unasema ujasiri? Ingekua ujasiri Nato wangeingia wao kumsaidia.Kuna tofauti kuwa sana kati ya ari ya majeshi hayo mawili. Raia wa Ukraine wanapigania uhai wa nchi yao kama taifa huru, wakishangazwa na hotuba ya mkesha wa vita ya Rais Putin ambapo alisema kuwa Ukraine ni nchi bandia iliyoundwa na Urusi
Wananchi wa Ukraine wameunga mkono serikali yao na rais wao. Hii imesababisha raia wasio na uzoefu wa kijeshi kuchukua silaha kwa urahisi ili kulinda miji yao licha ya nguvu kubwa ya kijeshi kutoka kwa Urusi
"Hivi ndivyo watu wanavyopigania kuwepo kwao," anasema Brigedia Tom Foulkes, ambaye alihudumu miaka 35 kama afisa wa Jeshi la Uingereza nchini Ujerumani wakati wa Vita Baridi. "Hivi ndivyo wanavyolinda nchi yao na familia zao.
Ujasiri wao ni wa kushangaza na wa kupendeza."
Hatua hiyo imewaweka huru askari wa Kiukreni kwenda kupigana kwenye mstari wa mbele, wakijua miji yao ina ulinzi wa kina.
Kinyume chake, wanajeshi wengi wa Urusi waliotumwa kupigana nchini Ukraine ni askari waliotoka shuleni, wamechanganyikiwa kwa kujikuta katika eneo la vita wakati walidhani walikuwa wakiendelea na mazoezi tu.
Wengi walikuwa na maandalizi kidogo ya vita au hawakujua lolote kwa ajili ya ukali wa mapigano waliyokumbana nayo.
Kumekuwa na ripoti za wengine kutoroka jeshini, uhaba wa chakula na uporaji.
URUSI inajuta sasa. ukiinama mshale ukiinuka Nshale.
Daaaahhh, hii sasa kaliAskari wa vifaru wa Urusi walioko Ukraine wameanza kuuza vifaru kwa Jeshi la Ukraine kwa dola elfu 10 kila kifaru na kujisalimisha kwa Jeshi la Ukraine
Source:France24
Duh...Askari wa vifaru wa Urusi walioko Ukraine wameanza kuuza vifaru kwa Jeshi la Ukraine kwa dola elfu 10 kila kifaru na kujisalimisha kwa Jeshi la Ukraine
Source:France24
Unajizima data sio?watoto wawili wanajipungia mkono maana hao hata ndege zikipita juu huwa wanapinga Leo mnaandika eti raia wa UKRAINE?Wa Ukrainian sio wanafiki wamesimama na Raisi wao hata mlivyomuona Ni comedian wapo nae
Hio mipaka haikuwekwa IRAQ LIBYA nkNi ipi mipaka ya NATO kutoa misaada ya kijeshi kwa nchi asiye mwanachama na kwanini mipaka hiyo iliwekwa?