Hakuna cha ujasiri wala nn! Huyo bwana zele ndie alisaini martial law kuzuia wanaume kuondoka. Wengi walikuwa wanakimbia wakiwa wamevaa km wanawake. Wangekuwa washakimbia wote!Kuna tofauti kuwa sana kati ya ari ya majeshi hayo mawili. Raia wa Ukraine wanapigania uhai wa nchi yao kama taifa huru, wakishangazwa na hotuba ya mkesha wa vita ya Rais Putin ambapo alisema kuwa Ukraine ni nchi bandia iliyoundwa na Urusi
Wananchi wa Ukraine wameunga mkono serikali yao na rais wao. Hii imesababisha raia wasio na uzoefu wa kijeshi kuchukua silaha kwa urahisi ili kulinda miji yao licha ya nguvu kubwa ya kijeshi kutoka kwa Urusi
"Hivi ndivyo watu wanavyopigania kuwepo kwao," anasema Brigedia Tom Foulkes, ambaye alihudumu miaka 35 kama afisa wa Jeshi la Uingereza nchini Ujerumani wakati wa Vita Baridi. "Hivi ndivyo wanavyolinda nchi yao na familia zao.
Ujasiri wao ni wa kushangaza na wa kupendeza."
Hatua hiyo imewaweka huru askari wa Kiukreni kwenda kupigana kwenye mstari wa mbele, wakijua miji yao ina ulinzi wa kina.
Kinyume chake, wanajeshi wengi wa Urusi waliotumwa kupigana nchini Ukraine ni askari waliotoka shuleni, wamechanganyikiwa kwa kujikuta katika eneo la vita wakati walidhani walikuwa wakiendelea na mazoezi tu.
Wengi walikuwa na maandalizi kidogo ya vita au hawakujua lolote kwa ajili ya ukali wa mapigano waliyokumbana nayo.
Kumekuwa na ripoti za wengine kutoroka jeshini, uhaba wa chakula na uporaji.
URUSI inajuta sasa. ukiinama mshale ukiinuka Nshale.
Basi mtaalamu mkubwa, labda niambie kitu kimoja tu: ni lini kwamba vikosi vya NATO na roketi za NATO zilifika kwenye mpaka wa mashariki wa Ukraine???Bora zako wewe mswahili wa Tanzania una akili zaidi ya Colonel Macgregor wa Marekani, kiasi kwamba waona Ukraine inashambuliwa kijeshi pasi na kumchokonoa/chokoza jirani yake Russia...
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani anasema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).
Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).
Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===
Col. Macgregor: Biden refused to acknowledge what's important to Putin, now he has to watch the invasion
Retired US Army Col. Douglas Macgregor told "Tucker Carlson Tonight" that he was concerned President Biden didn't take Putin seriously enough.www.foxnews.com
COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
Hujui kuwa Bunge la Ukraine lilipiga kura ya kujiunga na NATO?Baada ya hapo ndio ungefuata mchakato wa kutuma maombi NATO!Kabla hilo halijatokea ndio Putin akaona aingilie kati!Kwanza Ukraine haikupokelewa katika NATO. NATO haiko Ukraine (menginevyo Putin asingevamia).
Pili nionyeshe makubaliano gani Ukraine imekiuka? Jina la makubaliano, tarehe gani, mahali pake, jina lake? Tafadhali usifuate propaganda hata kama imerudiwa mara 1,000.
Dunia si tambarare, binadamu amewahi kukanyaga Mwezini, Ukraine haikuahidi kutojiunga na kitu chochote.
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]tukakaa hivi hivi kwamba hizi ni propaganda kumbe mambo yamebadilika - hakuna yoyote aliyedhani vita hii itakuchukua siku 30 - hata Putin mwenyewe haamini.
Kuondoka huko hawezi kabisa maana itaonekana kashindwa, kwa hiyo kinachokwenda kufanyika ni makubaliano ya kumaliza vita na Ukraine moja kwa moja kujiunga NATO - na Mrusi kudhoofu ki-uchumi na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Putin - game over
Russia ana gesi asilimia 30℅ ya reseeve ya gas yote duniani, na hakuna nchi nyingine inayofikia hata 15℅ hivyo gesi ya Russia itanunuliwa tuNiliwaambia hakuna nchi inayojitambua itanunua kwa rubles
~Poland's state energy company on Thursday said it would not pay for Russian gas in rubles, becoming the latest to reject Kremlin demands amid unprecedented sanctions on Moscow over its war in Ukraine
Mrembo Joannah nipo hapa jirani yako barrriiidi ambae sio tu huwa sitaki kukuudhi, bali hata kukuambia taarifa zitazokukwaza huwa najiepushaNi vile jirani hachaguliwi,Kuna majirani wengine kuishi nao ni kazi sana atakukeraa we mpaka ujute kununua kiwanja pembeni yake.sasa Ukraine anatabu sana kuwa jirani wa mbabu mjinga na anayejistukiastukia kama yule.
Ficha ujinga wako, gesi imejaa Middle East yakutosha.Russia ana gesi asilimia 30℅ ya reseeve ya gas yote duniani, na hakuna nchi nyingine inayofikia hata 15℅ hivyo gesi ya Russia itanunuliwa tu
Ushanawa vizuri?Kumbe NATO imeundwa ili kupigana na URUSSI kwahiyo nchi 30 zinamshindwa mtu 1? Hapo unakubaliana kuwa Russia ndo mbabe wa Dunia mpaka watu wanaungana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Term hii PUTIN kawanyoosha mazafuckas
Congrats Kenya for standing with the people of UkraineHongera Nigeria na Kenya kwa kukataa unafiki ,rafiki wa kweli utamjua kwenye shida.
View attachment 2163765
@T14 ArmataDeputy Chairman of the Security Council Dmitry Medvedev told RT that Russia will continue to sell oil and gas to the West, but will do it only for rubles:
“Now this is a significant part of our income, and we are obliged to receive all this income. At the same time, under the current conditions, we certainly look at the Asian markets and think about how to diversify these deliveries.
If our European friends are in a great hurry in the sense of refusing to supply from the Russian Federation, refusing our oil and gas. It is very difficult to do this, because 40% of gas comes from Russia (and about a third of oil supplies).
But it would be an honor. If they want to get rid of it, they will get rid of it. The only question is in what perspective. We also need to think about what to do with it.
We say: since everything else has collapsed, pay in rubles. Let them find ways to pay.”
Unakimbilia matusiUchambuzi wa kipuuzi huu, vita ya mwezi mmoja ifilisi nchi kama Russia? Nenda google mpaka hana EU wanalipa kiasi gani kwa nushati ya Russia? Umevimbiwa mihogo conclusion za ajabu, Pumbavu.
Ficha ujinga wako, gesi imejaa Middle East yakutosha.
Germany Won't Pay Russia in Rubles for Natural Gas, Defying Putin Request
BY LORA KORPAR ON 3/24/22 AT 1:12 PM EDT
SHARE
NEWS RUSSIA GERMANY NATURAL GAS GAS
German Chancellor Olaf Scholz refused Russian President Vladimir Putin's request to have Germany pay for Russian gas deliveries with rubles.
At a Group of Seven (G7) press conference in Brussels on Thursday, Scholz said this is because "there are fixed contracts" that specify the payments must be made in euros or dollars "and that's what counts,"
Mkuu hiki ulichosema Siyo kweli, kama wananchi wanaipenda nchi yao na wamejitolea kuilinda kwanini rais wa Ukraine apige marufuku wanaume kuanzia 18 hadi 60 wasiondoke????,Kuna tofauti kuwa sana kati ya ari ya majeshi hayo mawili. Raia wa Ukraine wanapigania uhai wa nchi yao kama taifa huru, wakishangazwa na hotuba ya mkesha wa vita ya Rais Putin ambapo alisema kuwa Ukraine ni nchi bandia iliyoundwa na Urusi
Wananchi wa Ukraine wameunga mkono serikali yao na rais wao. Hii imesababisha raia wasio na uzoefu wa kijeshi kuchukua silaha kwa urahisi ili kulinda miji yao licha ya nguvu kubwa ya kijeshi kutoka kwa Urusi
"Hivi ndivyo watu wanavyopigania kuwepo kwao," anasema Brigedia Tom Foulkes, ambaye alihudumu miaka 35 kama afisa wa Jeshi la Uingereza nchini Ujerumani wakati wa Vita Baridi. "Hivi ndivyo wanavyolinda nchi yao na familia zao.
Ujasiri wao ni wa kushangaza na wa kupendeza."
Hatua hiyo imewaweka huru askari wa Kiukreni kwenda kupigana kwenye mstari wa mbele, wakijua miji yao ina ulinzi wa kina.
Kinyume chake, wanajeshi wengi wa Urusi waliotumwa kupigana nchini Ukraine ni askari waliotoka shuleni, wamechanganyikiwa kwa kujikuta katika eneo la vita wakati walidhani walikuwa wakiendelea na mazoezi tu.
Wengi walikuwa na maandalizi kidogo ya vita au hawakujua lolote kwa ajili ya ukali wa mapigano waliyokumbana nayo.
Kumekuwa na ripoti za wengine kutoroka jeshini, uhaba wa chakula na uporaji.
URUSI inajuta sasa. ukiinama mshale ukiinuka Nshale.
Watu wengine n slow learner achaneni nao.Hujui kuwa Bunge la Ukraine lilipiga kura ya kujiunga na NATO?Baada ya hapo ndio ungefuata mchakato wa kutuma maombi NATO!Kabla hilo halijatokea ndio Putin akaona aingilie kati!
Pili,makubaliano yaliingiwa Ili NATO isijipanue east zaidi Kwa maana ya Ukraine Kwa ajili ya usalama wa Russia,lakini kuna minsk agreement!Nenda katafute mwenyewe!
Ni shemale 😂😂😂Haya ndo madhara ya mtoto wa kiume kujiita coco, Russia ndo nchi inayoongoza kuwa na gas reserve kubwa duniani. Sorry wewe ni dem au boy?
Ni Mwanaume lakini hana msambwanda kama weweHaya ndo madhara ya mtoto wa kiume kujiita coco, Russia ndo nchi inayoongoza kuwa na gas reserve kubwa duniani. Sorry wewe ni dem au boy?
Hahaha Putin ni mwamba. Wewe uko hapa unamuita mpumbavu wakati raisi aliyepita wa marekani anamuita mrazini na mwenye akili nyingi (Genius and smart)~ DT[emoji631].Russia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.
Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.