Kumuumiza UrusiNikitazama wanachofanya NATO/ US si kumsaidia Ukraine ashinde. Pia si kuingia vitani na Urusi bali ni kuhakikisha Ukraine inarefusha muda wa mapigano. Sijajua wanajaribu kupata nn katika hilo.
Kidume ngangari [emoji1787]Bulgaria imesema haipo tayari kufanya malipo ya gesi ya Russia ktk sarafu ya Russia (ruble). Putin kasema Bulgaria italipia gesi ya Russia ktk pesa ya ruble 'ipende, isipende', 'itake, isitake'
Asante Putin, mwanaume hutoa kauli moja tu, hayumbishwi...
View attachment 2163741
Na lugha uitumiayo ni ya hao hao uwatusioAnd you black man, a slave, poor, empty minded..you will always bow down to your slave master forever! Better shut up your ruthless mouth as it pour out rubbish!!
FactsJapan anaugulia ndani kwa ndani ila ipo siku atalipiza kisasi. Mataifa mengi yapo na US kinafiki sema ndo hawana jinsi ila ikitokea vita US atageukwa hata amini.
Safi Sana germany, mrussi gesi yake abaki nayo🇩🇪🇷🇺 The share of Russian gas supplies to Germany is expected to decrease from 55% to 40% by the end of March, and should drop to 10% by mid-2024, Der Spiegel reports.
🛢Germany wants to halve Russian oil imports by mid-2022 and also expects to fully substitute coal supplies from Russia by this upcoming fall.
Muulize Colonel Macgregor, mmarekani O.G. (sio wa Buza) na afisa mstaafu wa ngazi za juu kwenye Jeshi la MarekaniBasi mtaalamu mkubwa, labda niambie kitu kimoja tu: ni lini kwamba vikosi vya NATO na roketi za NATO zilifika kwenye mpaka wa mashariki wa Ukraine???
Nato imekataa ombi la Ukraine kujiunga nayo tangu mwaka 2008.
NATO haiko Ukraine, menginevyo Putin asingevamia.
Unapenda kuchota FoxNews ambayo ni media ya magharibi kushinda magharibi yote ya Dunia, ila miaka ya kupigia debe Donald Trump iliathiri uwezo wake wa kuona na kufikiri.
mpaka chupi anayovaa pia ni ya USAID😁😁Na lugha uitumiayo ni ya hao hao uwatusio
Putin alidanganywa. Zelensky ni shujaa angekimbia leo Urusi angekuwa Kyiv. Kutokimbia kwake kunasababisha wananchi wake wapigane, na ndo maana huonekana bila vestUnajizima data sio?watoto wawili wanajipungia mkono maana hao hata ndege zikipita juu huwa wanapinga Leo mnaandika eti raia wa UKRAINE?Wa Ukrainian sio wanafiki wamesimama na Raisi wao hata mlivyomuona Ni comedian wapo nae
We naye weka propaganda yakoMbona hiyo propaganda ni ya kitoto sana, wambie wa Africa tumesha elimika hatudanganyi tena kwa kuona TV zao
Ungefatilia elections za marekani usingeleta habari za Fox NewsMuulize Colonel Macgregor, mmarekani O.G. (sio wa Buza) na afisa mstaafu wa ngazi za juu kwenye Jeshi la Marekani
View attachment 2163791
Huo ni uongo,huu ndio ukweli sasa[emoji779]️Summary of the special operation in Ukraine from the Russian Ministry of Defense. The armed forces destroyed the largest of the remaining fuel bases of the Kiev regime with a strike of "calibers".
[emoji810]It was located in the village of Kalinovka near Kiev. From this base fuel was supplied to military units in the central part of Ukraine.
[emoji810]Russian forces advanced 4 km overnight and captured Batmanka, Mikhailovka, Krasny Partizan, Stavki and Troitsky, they are developing an offensive against units of the Ukrainian 25th airborne brigade.
[emoji810]A group of "night hunters" from Ka-52 and Mi-28N helicopters destroyed 24 units of military equipment, including 7 tanks, 5 infantry fighting vehicles and 3 armored personnel carriers during night strikes. During the night, operational-tactical and army aviation hit 51 military facilities of Ukraine.
[emoji810]In total, since the beginning of the operation, 261 Ukrainian drones, 204 anti-aircraft missile systems, 1,587 tanks and other combat armored vehicles, 163 MLRS, 636 field artillery pieces and mortars have been destroyed.
Source?!Destroyed already by Russian army
Ndugu, nimeandika kwamba Ukraine imeleta maombi kupokelewa NATO mara kadhaa. Hata wameweka lengo la uanachama wa NATO katika katiba ya taifa, tayari tarehe 21 February 2019, si sasa hivi!!Hujui kuwa Bunge la Ukraine lilipiga kura ya kujiunga na NATO?Baada ya hapo ndio ungefuata mchakato wa kutuma maombi NATO!Kabla hilo halijatokea ndio Putin akaona aingilie kati!
Pili,makubaliano yaliingiwa Ili NATO isijipanue east zaidi Kwa maana ya Ukraine Kwa ajili ya usalama wa Russia,lakini kuna minsk agreement!Nenda katafute mwenyewe!
Si mlikataa mkasema hii ni propaganda?Destroyed already by Russian army
Yaani RUSSIA hana wac anatoa dozi huku anaangalia atakae jipendekeza ale kipigoPro NATO Wanaumia sana kuona NATO wanashindwa kumvamia Mrusi kama ilivyokuwa kwa Iraq na kinachonishangaza kuna watu zinasema siku za Russia zimefika. Najua hii inaumiza na Pro NATO hawataki kusikia lakini vita kati ya NATO na RUSSIA ni vita ya Nyuklia na kuna uwezekano isirushwe hata risasi moja.
Ukitaja kujua Russia atatumia silaha zipi vita ya tatu ni sasa ambapo hana hata Presha NATO wakija na mipango sijui tunaimarisha mpaka wa Poland sijui tunaongeza askari Lativia, Romania, Slovakia na Hungary mwenzao hana hata wasiwasi kabisa maana kauli mbiu yetu Kremlin ni HAPA NUKES TU
Hili jamaa jamani linatia aibu.Ujisalamishe, halafu tena uuze kifaru😄😄😄😄😄😄😄😄😄Askari wa vifaru wa Urusi walioko Ukraine wameanza kuuza vifaru kwa Jeshi la Ukraine kwa dola elfu 10 kila kifaru na kujisalimisha kwa Jeshi la Ukraine
Source:France24