Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Naumia nikiona jinsi gani askari Warusi wanachomwa katika vifaru vyao wakifuata amri za uongozi ulioandaa kazi yake vibaya na shabaha ya kutenda jinai.Nenda kapigane Ukraine, si unaumia sana kuona Ukraine inakaangwa?!
Huyo mwache nidili nae,maana pro Russia wanajifanya wao wanajua lugha kali na matusi.
Acha kulialia hapa, nenda kapigane vita Ukraine, uchakazwe na kombora la haipasoniki ukiwa kwenye kambi za wapiganaji wageniNaumia nikiona jinsi gani askari Warusi wanachomwa katika vifaru vyao wakifuata amri za uongozi ulioandaa kazi yake vibaya na shabaha ya kutenda jinai.
Na wewe bado unakimbia maswali kwa kuleta upuuzi mwingine!
Nieleze kwanini US walivamia iraq? Libya na Syria? Kama jeshi la Ukraine limeshinda vita, basi liwaondoe askar wa Russia. Wakimbizi wote warudi makwao mbona simple.NATO hawaingii kwa sababu wanakumbuka wajibu kwa Dunia. Kuingia sasa inaongeza hatari ya vita ya moja kwa moja; ilhali sioni tatizo kubwa sana kutokana na hali ya jeshi la kawaida la Urusi maana limeonekana dhaifu, lakini hatari ni vita ya nyuklia.
Vita ya nyuklia ikianza hakuna anayejua namna ya kuisimamisha. Tumeshadili hapa juu kwamba vita kubwa ya kinyuklia itakuathiri pia wewe Mtanzania. Kwa hiyo ushukuru viongozi wa NATO kwamba hadi sasa wamekumbuka hatari kwa Dunia yote wanaepukana magongano ya moja kwa moja kati ya wanajeshi wa NATO na Urusi.
Inasikitisha kutazama jinsi gani nchi inashambuliwa kinyama , tena nchi tulivu ambayo haikutendea jirani yake uovu wowote, tena ilipokea ahadi ya Urusi kuheshimu na kutunza mipaka yake wakati Ukraine ilipotoa silaha zake za nyuklia kwa Urusi mnamo 1994.
Basi ahadi hizi ni bure na jirani mkubwa anaonekana ni mwongo na mhuni.
Kwa hiyo nimeelewa NAATO wanajitahidi kuwasaidia kwa silaha za kujitetea (ambazo hazifai kushambulia nchi nyingine) na kwa kuweka vikwazo vikali shidi ya mshambuliaji ambavyo vitapunguza sana uwezo wake wa kurudia ukorofi.
Ila tu havitasimamisha mara moja ukorofi wake na mashambulio dhidi ya Ukraine.
Waache kijificha kwenye makazi ya watu.Mkuu
Ukraine anashinda vita hii bipa nato...amini nakwambia. Huyo Putin ameamua kupiga makaazi ya raia ili kuwakomoa maana ya kuona nyama ngumu. Anafanya hivyo ili kuwavunja moyo wapiganaji.
Mwezi mzima wameshindwa kuchukua nchi Hadi Sasa wameamua kufuata njia za maongezi ambazo angeweza tumia tangia mwanzo,anajisikaje Putin?Ukraine waongo sana aisee...majuzi walitwambia kuwa vita itaisha jana kwa kuwa majeshi ya Russia yangeishiwa silaha na vyakula hiyo jana. Kumbe chini chini walikuwa wakihaha kuhakikisha wanakubali matakwa ya Russia ndani ya muda huo ili Russia asiendelee kugawa kichapo.
Leo nashangaa kumekuwa shwari Ukraine, kumbe jamaa wamesha kubali topic nne kati ya sita walizopewa na Russia (hiyo ni kwa mujibu wa Erdoğan, mpatanishi na Rais wa Turkey)
View attachment 2164002View attachment 2164003
Mda huu super power IS ilibid aingie kumtoa Putin, vikwazo pekee havitoshi.Hivi vita vimefanya Russia ipoteze kabisa hadhi yake kama Super Power.
Sawa, Putin hapigi vituo vya kijeshi...Mkuu
Ukraine anashinda vita hii bipa nato...amini nakwambia. Huyo Putin ameamua kupiga makaazi ya raia ili kuwakomoa maana ya kuona nyama ngumu. Anafanya hivyo ili kuwavunja moyo wapiganaji.
Waoga wakubwa hawa.NATO anazidi kujipanga kulinda mipaka yake
View attachment 2163755
View attachment 2163756
View attachment 2163757
View attachment 2163758
View attachment 2163759
WaacheNiliwaambia hakuna nchi inayojitambua itanunua kwa rubles
~Poland's state energy company on Thursday said it would not pay for Russian gas in rubles, becoming the latest to reject Kremlin demands amid unprecedented sanctions on Moscow over its war in Ukraine
Dear Joannah, kwani si kila siku na kila dakika tulikuwa tukimuona Zelensky akilialia kutaka azungumze na Putin?! Kila mtu aliyemuona anaweza kufanikisha kumuombea poo kwa patan zelensky hakuona ajizi kumtumiaMwezi mzima wameshindwa kuchukua nchi Hadi Sasa wameamua kufuata njia za maongezi ambazo angeweza tumia tangia mwanzo,anajisikaje Putin?
Mwizi akamjibu hakimu: "Mbona Ole Lengai alipora wenye maduka huko Arusha, na hapa unaniuliza mimi?"Nieleze kwanini US walivamia iraq? Libya na Syria? Kama jeshi la Ukraine limeshinda vita, basi liwaondoe askar wa Russia. Wakimbizi wote warudi makwao mbona simple.
Nje ya mada, braza 24hrs upo humu unalipwa? Umepanga? Au ndio wale wanaume jina.Unakumbuka ile mikwara mbuzi ya yeyote atakaeisaidia Ukraine atakiona cha moto,kila siku Ukraine anapelekewa misaada tena ya silaha wazi wazi na mtoa mikwara Putin kaufyata.
"HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU" by watoto wa Putin wa JF [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kwanini Ukraine walikiuka makubaliano na kupiga kura ya kujiunga NATO?
Kazi ya Urusi ni kuwageuza mbolea tu ili baada ya vita kuisha mpunga ustawi vizuri... Hayo mashoga yameuawa mengi sana hadi mengine yanatoroka na magauni lakini bado yananaswa😆😆Kweli kusikia kwa kenge ni mpaka damu zitoke masikioni;
Video mbalimbali walizojirekodi wanajeshi wa kujitolea Marekani zinazowaonyesha wakiwa kwenye mapambano makali katika mji wa Kyiv nchini Ukraine zimeanza kusaambaa kwa kasi mitandaoni.
Katika video hizo ambazo zimerokodiwa na wanajeshi hao zinawaonyesha wakiwa pamoja na wanajeshi wa Ukraine katika mapambano makali, lakini haijaweza kufahamika mara moja maeneo exactly au mitaa walipo wanajeshi hao.
Watu wengi wengi mitandaoni wamekosoa vikali na kusema video hizo huenda zikatumiwa na maadui (Urusi) kujua mahali walipo wanajeshi hao wa Marekani, Jambo ambalo linaweza hatarisha maisha yao na ya wanajeshi wa Ukraine.
Nipo nahangaika kuzipandisha video hizo hapa.View attachment 2164015