Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yuko na 27yrs kwa mujibu wake,sasa hapo si unahangaika na mtoto ambae bado anakunywa maziwa unamuuliza vitu vikubwa mno,mwache kwanza ahangaike na application za kazi😀
Hahaha
 
hahaa mbn ukraine wanafcha kwann urusi ishindwe?
BBC inakuwa ipo wapi wakati wanajeshi wote hao wanakufa au hata Azov wenyewe simu zao zinakuwa zimeisha chaji au? Ukraine haina uwezo wa kuficha taarifa za vifo vya wanajeshi wake, ni kwamba Marekani na West kwa ujumla wameamua tu kupotosha idadi ya vifo.
 
Kwa ulichojibu Usipotukanwa sijui😀😀
 
MJINGA SANA HUYU mtu Russia piga haka kamtu kajinga bomu
 
... the last kicks of a dying horse! Air Force One imetua salama Eastern Europe; one of the heaviest delegations ever and the airspace fully under controll. Let's keep our ears on. Jambo zito gonna happen.
 
Hii habarl nilikuwa naisubili kwa hamu sana kwani niliamini itakuja tuu. Wale wapiga kelele baada ya kubugia matango poli ya Westerners watakuja tu kukaa kimya kwa aibu. Russia hii vitaimejiaandaa vya kutosha na wanajua nini wanafanya
 
Russia inaweza kuwa imepoteza Askari Kati ya 2000 na 3000 lakini Sina Shaka yoyote Ukraine ni zaidi ya 15000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…