Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe acha kuongea kama mlevi wa gongo, hakuna nchi yenye S-300 pisi 250.
 
He he heeeee[emoji3166]
 
Hii habarl nilikuwa naisubili kwa hamu sana kwani niliamini itakuja tuu. Wale wapiga kelele baada ya kubugia matango poli ya Westerners watakuja tu kukaa kimya kwa aibu. Russia hii vitaimejiaandaa vya kutosha na wanajua nini wanafanya
Mkuu haya maneno Zelensky toka siku ya kwanza anayahubiri lakin kama unakumbuka mpaka mazungumzo pande 2 yanaendelea lakin solution bado., kumbuka sasa ni mwezi wakati russia speed ya mashambulizi aliyoanza nayo leo si wa kusikia yuko baharini uko anarusha missiles Ukraine,

Ni wazi vita imemshinda na kukimbia kwenye ground na kujificha baharini huko, tulitegemea majeshi ya russia yaingie Kiyv na kupachua bendera za ukraine na kupachika ya kwao., lakini kama wamerudi hadi baharini uko na kurusha vikombora ni bora atangaze kushindwa, Kiev imemshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…