Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Ila Pro Russia bwana 🤣🤣🤣🤣Biden was criticized: "The troops are horrified that this 'president' is eating pizza like an animal before the soldiers even got it. In the army, the senior officer always eats last."
The American president is unfamiliar with the norms of military behavior. Literally does not know how to properly give a military salute. But he shouted well in 1998 that he "offered to bomb Belgrade!"
Galip SV Liwagu View attachment 2164766View attachment 2164767
Mwendo wa RUBO tu mpaka kielewekeeeHakuna sehemu yoyote Kremlin waliposema itachukua muda gani kumaliza Operation yao hivyo ikichukua muda mzuri zaidi ndio Putin anataka kwa sababu Urusi na Ukraine ndio nchi zinazozalisha ngano kwa wingi duniani hivyo operation ikichelewa Ngano itakuwa inatokea Urusi na njaa itaibuka duniani baada ya hapo tunarudi mezani kupanga njia ya kulipana tena, ITS RUBBLE AGAIN
kwani shida nn mkuu? km una mtazamo tofauti ni sawa tu kila watu watu wana dhana tofauti kulingana na vile wanavyofahamu mambo, kwan ww ulikua na mtazamo upi kwe upande wa muda ambao russia angechukua udhibiti kamili wa ukraine au ht donbass tu?Ilikuepo tokea wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo kwake kujua vitu ni kuisifia Marekan na Mashoga zake, kisha kuiponda Russia ni dhaifu. Kwake kujua vitu ni kukubaliana na matakwa ya kimagharibi na kuwasema vibaya upande wa mashariki.Sawa Sina sababu yeyote ya ku-argue na wewe,amini ulicho aminishwa.
Mimi napata taarifa kutoka independent sources,sio CNN,BBC,Aljazeera,SkyNews au hata CGTN,ambako 24/7 ni fake news.
Sure man,I am black , proud and I notoriusly cherish freedom. Let freedom ring everywhere to the east west north and south.And you black man, a slave, poor, empty minded..you will always bow down to your slave master forever! Better shut up your ruthless mouth as it pour out rubbish!!
Niache kuwasikiliza Kyiv wenyewe (The Kyiv Independent) wakiongelea kuwa walikuwa na pisi 250 za S-300 kabla ya vita, kisha nisikilize uharo wa mUkraine mmoja wa Nanyamba aliyeropokwa kupinga jambo 'asilolijua' baada ya kuvimbiwa na pombe ya 'Wanzuki'This is a Flagrant Disinformation.
Yani mpaka ukaenda kutafuta meme ujiliwaze. Kweli mmepanic😁😁😁
Kwanza umeiona post ya mtoa twitter... Umezitizama vizuri hizo flag???
sijui nani anaona Urusi haina kitu? Ukitaka kuboma na kuua huhitaji tekinolojia ya juu. Jengis Khan aliweza miaka 800 iliyopita (afghanistan bado kuna sehemu za jangwa alipoangamiza miji na vijiji na kuharibu umwagiliaji), Interharamwe rwanda waliua zaidi ya nusu miliono kwa panga . . . .Jamani Ukraine nchi yake no magofu kwa sasa, Aina chakula, maji Wala umeme. Achani ushamba kwa kusema Russia hakuna kitu
mkuu kwan unadhan ni kwann urusi antk hostile nations zilipe kwe ruble?Mwendo wa RUBO tu mpaka kielewekeee
Unavhekesha n unajipa tabu ya bire kwa kubuni ujinga kama huu mzeeAwamu ya kwanza imeisha awamu ya pili ni kulifunika hilo bano mji wa kiev haujazungulushiwa alama kwa sababu umewekewa mzingiro tu
View attachment 2164621
Bado. Labda itaelekea? Putin anajitahidi kumfuata Komredi Mugabe.Wanapenda kujidanganya hawa watu
Wanadhani yakwamba RUSSIA ni ZIMBABWE
Sio mbaya...zile Hela Za urusi zilizokamatwa zitajengaMji wa Mariupol unakuwa magofu ...
Huna akili mwanangu pole sana!!Hapo ndo ujue Russia ni hatari kwenye teknolojia ya silaha, yaani kama silaha alizoziacha huko Ujerumani karne ya 20 huko wakati tupo karne ya 21 na mjerumani anachofanya ni kufuta vumbi tu. Nasema hivi NATO kwa Russia ni kusanyiko la nzi makelele mengi sikioni lakini hata hawaumi
Hajui chochote kama wengi wao kwenye huu uzi, huyu ni kilaza anayehusudu conspiracy theories tu.Nikisoma unachoandika - sidhani unajua kitu chochote.
Ni mtazamo wa kitumwa kabisa.Nitasifia kitu ambacho kina-adhere to rules of logic,realism and morality,kinyume cha hapo no.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo kwake kujua vitu ni kuisifia Marekan na Mashoga zake, kisha kuiponda Russia ni dhaifu. Kwake kujua vitu ni kukubaliana na matakwa ya kimagharibi na kuwasema vibaya upande wa mashariki.
Ukifanya hivo basi mbele ya macho yake utakuwa unajua vitu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]