Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni mtazamo wa kitumwa kabisa.Nitasifia kitu ambacho kina-adhere to rules of logic,realism and morality,kinyume cha hapo no.
You're a deluded person living in a fantasy world how would you know logic or realism when you see it!
 
wamefreeze tu mkuu hawawez kuzitumia
Watazitumia hata nusu yake, na hiyo itakuwa sehemu ya makubaliano katika kumaliza vita.
Russia lazima atawajibishwa vikali na ulimwengu wa magharibi ili asirudie tena uovu na wendawazimu wake kwa majirani zake.
 
Ni mtazamo wa kitumwa kabisa.Nitasifia kitu ambacho kina-adhere to rules of logic,realism and morality,kinyume cha hapo no.
realism hapo ndio issue maana inategemea unaangalia jambo tokea angle gani hasa kwe issue km hz zinazohusisha pande mbili halaf mhusika akawa anasapoti upande flani,
 
Watazitumia hata nusu yake, na hiyo itakuwa sehemu ya makubaliano katika kumaliza vita.
Russia lazima atawajibishwa vikali na ulimwengu wa magharibi ili asirudie tena uovu na wendawazimu wake kwa majirani zake.
Watakuja kuziachia tu otherwise wataharibu taswira yao wenyew
 
Hamna mkuu sema mikwara ya nini wakati wanajua kbs hawawezi.

Kama isingekuwa nuclear ss hivi tungekuwa tunaitafuta WWV. Wazungu wanapenda sana kupigana sema tu wakifkiria nuclear

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
wanapenda kupigana pale yalipo maslahi sio tu ilimradi au kuoneshana ubabe, nuclear inaogopwa na wote mkuu
 
Kumbe hakuonekana tangu siku; wengine waliuliza kama Putin alimwondoa kwa kuona udhaifu wa jeshi la kirusi. Msemaji wa wizara ya Urusi alisema eti ana shughuli nyingi hawezi kuhudhuria mikutano na wanahabari. Kama habari ya BBC ni kweli swali langu: je mgonjwa kweli, au wanajaribu kuficha kwamba Putin alikasirika juu yake?
 
Nchi za Ulaya zinapitia wakati mgumu toka WWII, silaha wanazotoa halafu hawaoni mdororo wa uchumi ambao upo usoni.

Serikali nyingi ulaya zitapata pingamizi kubwa mno toka kwa wananchi.


Wanajidai kutoa misaada ya kifedha na silaha wakati maisha yanazidi kuwa magumu, badala wakae watafakari namna ya kukabili hii hali wao wanazidi kutumia gharama kununua silaha na kutoa pesa, ngoja tuone mwisho wao.

Russia ina mali, nchi yenye mali kama Russia the only way kuirudisha nyuma ni kuishambulia kama Syria, Iraq, Libya n.k, vikwazo Iran imewemewa zaidi ya miaka 40 watu wanapeta.
 
We need to maintain the pace of deliveries of promising weapons to the Russian troops - Shoigu.

The head of the Ministry of Defense said that despite the sanctions, the level of concluding contracts under the state defense order reached 85%. The work will be completed in April.

Priorities are high-precision long-range weapons, aircraft, maintaining the combat readiness of strategic nuclear forces. The Ministry fully fulfills all social obligations
 
bado urusi haijaanza uruban war ndani kiev ndo maana umewekwa mzingiro huku vikiso vya ukraine vikilegezwa taratibu kama juzi wamepata matanki makubwa ya oil na kupelekea uhaba w mafuta kwa vikosi vya ukraine vilivyo ndani ya kiev
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…