Michael Andrew Jr
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 219
- 665
Braza hujajibu swali mpaka leo, kwanini Nato hawaingii Ukraine kuondoa majeshi ya Russia? Nato ni nchi 30 urusi ni 1. Wanaogopa nini? Si walisema uchumi wa California ni zaidi ya urusi.Kwi kwi kwi super power kabadili strategy anataka kuishika kwanza Donbas
We don' need air'craft carrier...[emoji57][emoji57][emoji57]...we are russian .....we believe in ...ballistic ..missiles ......clasta boombs.....cruiser...missllzzz.......kiazi wewe ......hizo carrier ni kwa ajili ya kututisha akina sisi afrika an' asian AN' NOT THE MIGHT RUSSIAN FEDERATION.......AFU hilo carrier likigongwa kombora moja tu matata ....linazama .[emoji18][emoji18][emoji18]...s@sa sisi hatutaki hasara za namna hiyo .........[emoji3][emoji3][emoji3]....hizo show off za sijui carrier ....hatuhitaji .....zikiingia kwa kumi na nane zetu hatutaziacha tunazamisha zote .....stupid youu and nato an us...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Super power wa makaratasi ana aircraft carrier moja tena chakavu. Ilijichomekea lenyewe likauwa wanajeshi wake.
Kwa hiyo kumbe NATO haijawahi kuivamia Libya??,au USA sio NATO tena?Nakwambia mkuu ni aibu, watu wamebaki kukariri upumbavu na maneno ya uongo tu, ukiwauliza lini wanarukia mbona marekani alivamia Syria, sijui libia
Wana vihelehele sana.Wakuu kuna uwekekano poland ikapigwa na urusi naona dalili
Russia anaweza akaichapa Poland na hao NATO wataangalia na hawata Fanya kitu.Wana vihelehele sana.
Jeshi la USA lina askari shoga, kweli wataweza kuingia ukraine? Walimuonea tu Gadafi.
You people have got to grow,swala la pro-US au pro-Ukraine ni la kitoto.Ni lazima logic and moral values zitumike kwenye issue hii,it is a life and death situation ambayo haihitaji utani.Please,please hili sio swala la Simba na Yanga.Pro-Ukraine wanazidi kuumbuliwa na 'USA TODAY' namna walivyotumia video zisizohusika na vita ya Ukraine kujipakazia kuwa waliyakamata magari ya kivita ya majeshi ya Russia
=======
View attachment 2164793View attachment 2164794View attachment 2164795View attachment 2164796
Kaka swali hili limejibiwa mara kadhaa. Hawataki kukaribia vita ya nyuklia. Jeshi la Urusi bila silaha za nyuklia si jambo, limeonekana dhaifu ya ajabu.Braza hujajibu swali mpaka leo, kwanini Nato hawaingii Ukraine kuondoa majeshi ya Russia? Nato ni nchi 30 urusi ni 1. Wanaogopa nini? Si walisema uchumi wa California ni zaidi ya urusi.
Imkdeje polandWana vihelehele sana.
wakuu kuweni serious basi, ICBM tena ukraine??Wanaujua mziki wa ICBM achilia mbali S400 nato hawawezi kusogeza pua
Hiyo avatar ndo jibu lako ...la sivo ondoa hiyo avatr ...ndo watu humu ndani watakupa jibu la kile ulicho uliza ......
Kwahio wewe mrussi wa kwa mpalange unajua zaidi ya jeshi la Marekani.We don' need air'craft carrier...[emoji57][emoji57][emoji57]...we are russian .....we believe in ...ballistic ..missiles ......clasta boombs.....cruiser...missllzzz.......kiazi wewe ......hizo carrier ni kwa ajili ya kututisha akina sisi afrika an' asian AN' NOT THE MIGHT RUSSIAN FEDERATION.......AFU hilo carrier likigongwa kombora moja tu matata ....linazama .[emoji18][emoji18][emoji18]...s@sa sisi hatutaki hasara za namna hiyo .........[emoji3][emoji3][emoji3]....hizo show off za sijui carrier ....hatuhitaji .....zikiingia kwa kumi na nane zetu hatutaziacha tunazamisha zote .....stupid youu and nato an us...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Twende pole pole nani alimuua Gaddafi. Jibu swali?Jeshi la USA lina askari shoga, kweli wataweza kuingia ukraine? Walimuonea tu Gadafi.
Msiishitumu urusi bila kufikiri, urusi yupo pekeake anapigana na nchi zaidi ya 4.Jeshi la Urusi limeonyesha udhaifu mkubwa ,lazima waziri kuwajibishwa. Gemu limebadilika Ukraine on offensive ,Z on retreat.
Watazitumia hata nusu yake, na hiyo itakuwa sehemu ya makubaliano katika kumaliza vita.
Russia lazima atawajibishwa vikali na ulimwengu wa magharibi ili asirudie tena uovu na wendawazimu wake kwa majirani zake.