Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

russia inasema awamu ya kwanza imeisha hvyo nguvu zinaelekezwa donbass, kutoendelea na juhudi za kuchukua miji mikubwa ya kharkiv na kiev kuna maanisha nn? haikua lengo au wamebadili malengo?
 
Sirya Libya Afaghanistani Yemeni Iraq Seribia izo zote zilishambuliwa na mmarekani na wapambe wake na wameuwa mamilioni ya watu wasio na hatia;
sirya na seribia hizo ni nchi au vitu gan mkuu?
 
Sasa jeshi dhaifu linateka miji, linaua askari na raia, lina haribu miundombinu. Na bado limetoa msimamo Ukraine hakuna kujiunga Nato na ukraiane anaonekana kutaka msaaada, na ncho 30 zinatoa misaada udhaifu ni upi? Kwanini hao ukraine wasiwarudishe nyumbani hao wanajeshi wa urusi. Nan kavamiwa nchini kwake? Majibu tafadhali
 
realism hapo ndio issue maana inategemea unaangalia jambo tokea angle gani hasa kwe issue km hz zinazohusisha pande mbili halaf mhusika akawa anasapoti upande flani,
Reality au ukweli ni mmoja tu mkuu,it does not matter from which angle you are looking at it.2+2=4 will remain four,it does not matter from which angle you are looking at it.Ni watu walioharibika akili tu ndio wenye realities more than one.
 
Kenge wewe mmarekani wa yombo vituka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....so wewe unajua zaidi ya THE MIGHT RUSSIAN kuliko russian wenyewe ....[emoji849][emoji849][emoji849]...au unafkir moscow wana akili kama za kwako ....narudia tena hizo carrier ni kwaa ajili ya kututisha sisi huku asian na africa ....lakini haziwezi na hazitaweza kumtishia THE MIGHT [emoji635][emoji635]...afu ili ujue hao kenge wenzio ni waoga angalia .....wamekusanyana ulaya yote na amerika yote ...dhidi ya MWAMBA PUTIN ....afu wewe ulietokea hapo kibera kwenye njaa na maslum kama ....yote unabwabwa huku ........HATUITAJI CARRIE SISI ...ni hasara kwanza ...yale ninkwa ajili ya show off.....lakin in reality kwa batle hazifai kitu .....[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849].....any rubbish question DUDE...
 
ukrein wanaitaji msaada wa chakula na madawa nato wao wanawapelekea vifaru[emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ndio dunia kaka,😁😁uwanja wa fujo...kwa sasa wakulima wetu hawana vifaa vya kisasa vya kilimo lakini tukipigana utashangaa US anatoa misaada ya vifaru vya kisasa kabisa😁😁🤣🤣
 
Mkuu hizo hela za silaha hazitoki kwenye the visible Goverments,zinatoka kwenye the Shadow World Goverment or the NWO if you wish.These psycopaths do not really care about the citizenry.Hawa akina Biden,Boris,Macron nk.ni channels tu.Watu hawana budi kulielewa hili.
 
Hii vita haiwezi kuwa rahisi kwa russia huenda ikachukua muda mrefu kuisha ,na hapo bdo kuna mamluki jeshi la Israel wapo ,ndo mana jana biden alihutubia mkutano wa nato akakazia kuhusu suala la russia kutumia silaha za kikemikali ni onyo kubwa sana
Nchi ya Ukraine itabaki magofu baada ya Vita,,
 
Uzuri hizi nchi hazijajaza matikiti maji, zina raia wanaojielewa na wanaoelewa ni kitu gani kinachoendelea.
 
Hii ndio dunia kaka,[emoji16][emoji16]uwanja wa fujo...kwa sasa wakulima wetu hawana vifaa vya kisasa vya kilimo lakini tukipigana utashangaa US anatoa misaada ya vifaru vya kisasa kabisa[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....dunia gunia uwanja wa ndondi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…