simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,792
- 9,724
Nini kinaendelea huko tuambieni
Qatar will not be able to help Europe with gas supplies now, there is no alternative to Russia at this stage, said Saad bin Sharid al-Kaabi, State Minister for Energy of the Emirate.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] US haifikii Qatar kwa reserve ya gas lakini anawaambia wasijali atawahudumia.
Vita ni gharama kubwa, bidha hauzi nje, deni la Urusi limekuwa kubwa(riba) masha ya askari wengi yamepotea.....Hii ni JF. Lengo la Uzi ni kupashana habari, kusimuliana, kuelimishana na kujadili pale inapobidi.
Huu mnakasha umebeba yote. Ila umahususi wa huu mnakasha mzizi mkuu wake ni fact.
Sasa haiwezekani unaandika jambo halafu ukihojiwa ithibati yake unasema hayo ni mawazo yako binafsi. Hii inaonyesha ubinafsi, unasiasa za kilafi kwa sababu ni siasa za kimslahi yako binfasi. Hutaki kujibu hoja una-dictate mawazo yako. In short una elements za u-dictator.
Tena tukuulize swali: Putin kairudisha sana nchi yake nyuma sana kiuchumi kivipi?
Kweli walijipanga..tena likuwa wamalize vita siku 2 au 3 hivi.....US anajaribu kukwepa utabiri wa kuwa utawala wake utaanguka na kuinuka kwa utawala wa East. Sasa anafanya vita vya ukraine kumdhoofisha kiuchumi Urussi ila hawezi coz jamaa unaambiwa walijipanga sana yani wamejipanga vilivo
Uchumi wa Marekani peke yake ni mkubwa mara 20 zaidi ya Uchumi wa Rusia. Ukiunganisha uchumi wa China, India na Russia kwa pamoja bado hazifikii uchumi wa USA kwa ukubwa wake, hawa wote mshirika wao mkubwa biashara ni USA au EU sasa watakataa kutumia dola kwa sababu gani?? Sijazungumzia mataifa karibia yote duniani, na wafanyabiashara wote wanapenda na wanalazimika kweka reserves na akiba zao katika US dollars. Russia anafanya vitimbi vya kitoto tu, anapambana na superpower halisi.
Hata gavana wa benki kuu ya Russia ambaye ni msomi wa Yale University ya Marekani anafahamu hivyo na alikuwa anapinga sana huu uvamizi akijua utaharibu uchumi wao.
Pia jifunze kwa nini US Dollar inapendelewa zaidi katika biashara duniani kote. Dollar ni pesa isiyoyumba kama mlevi, Ni currency stable kuliko zote duniani.
Tunadanganywa na nani? Ili iweje?..CHINA Kashamwacha US mbali sana kiuchumi ila data tunadanganywa. Inshort utawala wa marekani upo mbioni kuanguka [emoji28]
Ndiyo atueleze!Labda tuna Putin mwengine pande hizi
Operesheni wanatumia nini na vita wanatuma nini mkuu.....Ndiyo atueleze!
Tanzania ilifanya operation ya kijeshi nchini Kongo dhidi ya M23. Iliitwa operation chakaza na ikawachakaza.
Putin amesema ameenda Ukraine kufanya operation ya kijeshi dhidi ya kupunguza nguvu ya jeshi la Ukraine na kuondoa ma-Nazi.
Bw. Mkubwa katuambia kuwa hizi ni vita. Kwa kweli tunamshukuru. Ila mimi nilimsikia Putin kasema ni operation. Sasa sijajua kati ya yeye na Putin yupi ndiye Putin mwenyewe?
Hapa atakuwa wanawatishia Ulaya, US mafuta yake mengi na gesi yake nyingi anachukua Mexico, Canada na Uarabuni.
Pia anachimba nchi kwake.
Isingekuwa EU Russia angekula vikwazo hadi kwenye hiyo gesi yake.
CHINA Kashamwacha US mbali sana kiuchumi ila data tunadanganywa. Inshort utawala wa marekani upo mbioni kuanguka [emoji28]
US inataka dollar itumike kila mahala hasa kwa nchi zenye petroleum, hii itafanya dollar iwe kwenye demand kubwa na wataprint za kutosha.tatizo hapo sio exchange, exchange imekua ikifanyika miaka yote, hapa ni kuwa europe iwe na reserve ya ruble kwajili ya kupay bill za gas, sasa nan yuko tayar kukalia hifadhi ya ruble ambayo leo iko juu kesho chini keshokutwa kati? haifloat free na mengineyo ndio maana ht urusi yenyew imewekeza kwe euro/dollar, issue sio exchange hapa
Nimependa unavyojenga hoja zako.Nafikiri unajaribu kulikimbia swali langu. Ulisema Russia anatumia mbinu za kizamani. Tuambie mbinu mpya ni zipi? Hili ndilo swali langu.
Swali la pili lilitokana na nukta yako kuwa Russia haikuwa united kwenye hili la kumvamia Ukraine:Nani kakwambia hawakuwa united kwenye uvamizi huu? Hapa napo haujajibu.
Nimekuuliza swali, umejibu hili suala lipo wazi! Nionyeshe huo uwazi nami niuone.
Msingi wa hoja yako kwenye nukta ya pili haukubaliani na historia, na historia ni fact. Kinachoonekana haufanyi uchambuzi bali unaelezea kile unachokiona kupitia vyombo vya habari.
Jiulize kwa nini ikiwa kama ni boxing watachambua uwezo wa wapiganaji mmoja mmoja kabla ya mchezo kuanza kisha kubainisha nguvu ya huyu ipo juu kuliko mwenzake. Halikadhalika na nguvu za jeshi baina nchi na nchi wanafanya vivyo hivyo. Unafikiri kilichoangaliwa ni kipi? Sasa kuna utofauti kati ya uchambuzi na kukielezea kile unachokiona. Kuelezea unachokiona; haya yanaitwa ni mawazo binafsi juu ya suala fulani na wala hayamaanishi kuwa ni fact ijapokuwa yanaweza kuwa ni fact.
Putin hana namna akubali yaishe kwa muktadha upi?
Nilichokisikia mimi kutoka mdomoni mwa Putin kupitia vyombo vya habari yeye ameiita ni special military operation. Wewe unasema ni vita! Sasa sijaelewa baina ya huyu niliyemsikia na wewe unayeandika yupi ni Putin!?
tatizo hapo sio exchange, exchange imekua ikifanyika miaka yote, hapa ni kuwa europe iwe na reserve ya ruble kwajili ya kupay bill za gas, sasa nan yuko tayar kukalia hifadhi ya ruble ambayo leo iko juu kesho chini keshokutwa kati? haifloat free na mengineyo ndio maana ht urusi yenyew imewekeza kwe euro/dollar, issue sio exchange hapa
Hawa watoto Poland wanawashwa. Watapata kubwa moja hawataamini.
Alokwambia Us ana gas nyingi nani? Na US anareserve kubwa tu ya mafuta sio producer mkubwa wa mafuta. Msidanganywe na west propagandas hali ya Europe kwa sasa ni mbaya sana maisha yako juu hizi hbr huwez pata kwenye media zao.
Gap la Russia kwenye nishat halizibiki kirahis qatar kawatolea nje, huko saudia kuna visima vimelipuliwa ma waasi wa Yemen.
Hii ligi si mlianzisha?? Taifa moja vs mataifa 30 wtf???
Siyo kweli mkuu, hii operation ya kijeshi urusi angemaliza ndani ya wiki mbili tu, tatizo NATO na USA wameingilia Kati kumpa silaha UkraineKaka hili jambo lipo wazi...Urusi haikuwa na nguvu za kivita ambayo sisi wote tulidhani.
Achana kabisa na nchi za magharibi...yale madude ya kutungukia ndege toa EU ni balaa...Ujerumani jana wamepeleka mengime 1500.
Putin hana namna ni kukubali yaishe.
Ni uamuzi wa busara kwa urusi kuachana na hii vita.