Na hapa anastahili hongera. Kila mtu anajua kuwa kijeshi Ukraine ni dhaifu kwa Urusi hayo mengine unayoandika ni propaganda sababu UNAIPENDA SANA URUSI NA UNAMPENDA PUTTIN.Ukraine ilichofanikiwa ni kuchelewesha muda wa Russia kukamilisha mission yake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] kula 5 mzee baba [emoji109][emoji109][emoji109]Wanasema kipigo kinachotembea huko hakijawahi kuonekana Russia anatoa toka WWII.
Halafu wazee wanakuambia ni ka operation kadogo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kmmmmk Putin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata rais wa Ufaransa ame kambia kababu Baiden kachunge mdomo wa kenyewe kanapo kuwa kanamuongelea Putin.Taasisi yake mwenyewe ya urais pale Ikulu inamwogopa putin na kutoa maneno yanayoweza kumuuzi putin ni kama kusema blaza putin huyo mzee ndo kakutusi sisi tunakuheshimu Sana hatuwezi fanya hvyo lakin babu hasikii alienda kula pizza poland pia labda alienda kuwatoa waswas Poland akajua field Marshall putin ataogopa matokeo yake akabomb Lviv about 100 km from babu mla pwizza
Putin is very tishableHata rais wa Ufaransa ame kambia kababu Baiden kachunge mdomo wa kenyewe kanapo kuwa kanamuongelea Putin.
how mkuu maana dunia ni kubwa sana pia kuna powers kubwa km US,CHINA,RUSSIA na EU zenye malengo tofautitofauti hao watu wachache wanawezaje control dunia? tutoe tongotongo japo kdg tu
Kila raisi wa marekani anaekaa madarakani,walau huwa anajaribu kutatua tatizo fulani kubwa lililopo,ili aache historia nzuri,Bush alimuua sadam na kuikomboa Kuwait,Obama alimuua Osama bin Laden,trump alimuu kiongozi wa ISIS na kuzungumza na kiduku WA korea,Yeye BIDEN,mwanachama muhimu mtarajiwa wa NATO,anavurugwa mbele yake,na hana la kufanya na NATO wake,Kwa mzungu mwenzao,historia itamkataa sana,baada ya vita hii,mataifa mengi ya uarabuni yataanza kununua silaha za urusi,mfano ant missile za s400,Saudia wanazitamani sana,sema ndo wamekabwa na marekani...
Kuna ule msemo wanasema fahari wawili hawakai zizi moja... Ndio hicho kinachoendelea hapo. Ukifanikiwa kuiweka Russia kiganjani umeiweka dunia kiganjani. Inakupa access ya kucontrol nchi nyingi zaidi kiuchumi na kitamaduni.
Ile power ya kivita aliyonayo Mrusi, Zile Rasilimali alizonazo Mrusi, ingekuwa ni silaha moja kubwa ya kuziadabisha nchi yoyote ambayo ingejaribu kwenda kinyume na matakwa yao.
Rejea tena kwenye ile Post ya Director wa CIA alioiweka mda tu toka 2020... Inakupa picha ya agenda iliyokuwa inapikwa kitaambo tu...
View attachment 2166215
Na kile nachowaza nahisi walikuwa nalengo la kumuingiza Ukraine Mzee Putin kisha wauyumbishe uchumi wa Russia kwa kuushambulia kadri wawezavyo. Then Warusi waone maisha yanazidi kwenda mrama waamue kumpindua Raisi wao.
Ila ajab zaidi tangu operation ianze approval rate y Putin imekua zaidi toka 69% up to 72% ilihali ile ya kiranja mkuu wa magharibi inazidi kuropoka n sasa iko below 40% mwezi March huu...
Wakati operation inaanza ilikuwa na mapokezi ya 64% kutoka kwa raia wa kirusi, ila walivoona na kushuhudia kilichokuwa kinaendelea Ukraine sasa wameongezeka mpaka 79% kwa mujibu wa hizo data zilizotolewa.
Wameshajua rafiki yao nani na adui yao nani so wameungana na kui'support nchi yao na Raisi wao.
Nakuongeza na hii Clip ya ziada uwsikie ndugu wa kimagharibi walivokua wamejipanga.
View attachment 2166224
Mwisho nikwambie kua Russia ni Mpinzani wake in term of "Power" hapa basically ni kivita na China ni Mpinzani wake kiuchumi. So ni kama kurasa mbili hivi zenye sura tofauti.
Hii ndio sababu ninaichukia marekani. Katufanya watu wote duniani ni wapumbavu
NEWSLETTER HUB
Arabs denounce 'double standard' of Russia sports bans
Read more: Arabs denounce 'double standard' of Russia sports bans
NEWSLETTER HUB
Arabs denounce 'double standard' of Russia sports bans
Oli SCARFF
by Ali Choukeir
March 24, 2022 — Beirut (AFP)
Russia's war on Ukraine has drawn unprecedented sanctions that have seen it banned from most international sports in a Western-led break with the long-standing convention against politics mixing with sport.
For many Arabs, who have seen their own sportsmen and women punished for refusing to compete with Israelis in protest at successive wars, the exception made for a European conflict smacks of double standards.
Egyptian squash champion Ali Farag said "nobody should be happy about what's going (on in Ukraine)".
"We've never been allowed to speak about politics in sports but all of a sudden now it's allowed," he said this month.
"Now that it's allowed, I hope that people also look at oppression everywhere in the world.
"The Palestinians have been going through that for the past 74 years but I guess because it doesn't fit the narrative of the media of the West, we couldn't talk about it."
Days after Russia invaded Ukraine, football governing bodies FIFA and UEFA swiftly suspended Russia from all international competitions.
Formula One suspended its contract with Russia, barring it from hosting its Grand Prix in Sochi.
Accompanying the bans was an officially sanctioned outpouring of support for Ukraine.
The blue and yellow colours of its national flag were displayed at all English Premier League matches in the first weekend of March in a show of solidarity.
It has been a remarkable transformation for a sports establishment long so wedded to the idea of keeping politics out at all costs.
- 'What about Yemen?' -
"International sports associations, including FIFA, have banned any political or religious expression on the sports field," said James Dorsey, a senior fellow at the National University of Singapore's Middle East Institute.
"What they have done now is they effectively have lifted that for Ukraine. There is Palestine of course, but what about Yemen? Syria? Libya?"
Read more: Arabs denounce 'double standard' of Russia sports bans
unavamia nchi ya watu unaanzisha vita et kwa kuwa umesikia nchi hiyo wana urafiki na adui yako . huo ni Unazi mambo lini?Unaua Sadam kisa maslahi binafsi wewe kama sio mnazi mambo leo ni nani?
Ukaenda Libya ukaua wananchi, ukaua na raisi nyie kama sio wanazi wa kisasa ni kina nani? We ni nani umpangie matumizi mali ya mtu? Kama sio ideology za Hitler ni nini?
Unawekea wenzako vikwazo unapoona wanakuja kukupita katika technology na uchumi (China) turejee tiktok, huawei n.k, nauliza huu kama si unazi mambo leo tuiteje wataalamu, hizi si ideology za kinazi?
Unampangia mwenzako matumizi ya kutumia uranium yake kwa matumizi ya amani kabisa ikiwemo kufua umeme, wewe kama sio mnazi ni nani?
Umezunguka duniani umeuawatu wasio na hatia kwa sababu ya maslahi yako binafsi, ikiwemo kudhamini vikundi kusababisha civil war mfano Africa, wewe kama sio mnazi ni nani?
Namuelewa sana Putin, acha akomeshe huu uxeng...
Wadau endeleeni kuweka list ya vitendo vya unazi mambo leo.
Na hizo ndizo agenda ambazo hatuzitaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii dunia na mbabe mmoja tutapakatwa sana [emoji119][emoji119][emoji119] Acha adondoke tu mbuzi hao...Unaua Sadam kisa maslahi binafsi wewe kama sio mnazi mambo leo ni nani?
Ukaenda Libya ukaua wananchi, ukaua na raisi nyie kama sio wanazi wa kisasa ni kina nani? We ni nani umpangie matumizi mali ya mtu? Kama sio ideology za Hitler ni nini?
Unawekea wenzako vikwazo unapoona wanakuja kukupita katika technology na uchumi (China) turejee tiktok, huawei n.k, nauliza huu kama si unazi mambo leo tuiteje wataalamu, hizi si ideology za kinazi?
Unampangia mwenzako matumizi ya kutumia uranium yake kwa matumizi ya amani kabisa ikiwemo kufua umeme, wewe kama sio mnazi ni nani?
Umezunguka duniani umeuawatu wasio na hatia kwa sababu ya maslahi yako binafsi, ikiwemo kudhamini vikundi kusababisha civil war mfano Africa, wewe kama sio mnazi ni nani?
Namuelewa sana Putin, acha akomeshe huu uxeng...
Wadau endeleeni kuweka list ya vitendo vya unazi mambo leo.
They underestimated Putin and his Russia.Halipo kwenye hutuba ila lipo kwenye ajenda [emoji23][emoji23][emoji23] dunia iko open sasa hakuna siri tena... Mkurugenzi wa CIA. Toka 2020. Jamaa anaezungumziwa hapo upande wa Russia yupo Jera sa hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2165995
Huo ulikuwa mpango wao toka kitambo [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
kweli mkuu, 😁😁😁😁Super power wa mchongo ata gwanda zao tu niza kuunga unga makoti kama boda boda
Sent using Jamii Forums mobile app