Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Nimeacha kusoma nilipoona historia ya Libya huijuiUnaua Sadam kisa maslahi binafsi wewe kama sio mnazi mambo leo ni nani?
Ukaenda Libya ukaua wananchi, ukaua na raisi nyie kama sio wanazi wa kisasa ni kina nani? We ni nani umpangie matumizi mali ya mtu? Kama sio ideology za Hitler ni nini?
Unawekea wenzako vikwazo unapoona wanakuja kukupita katika technology na uchumi (China) turejee tiktok, huawei n.k, nauliza huu kama si unazi mambo leo tuiteje wataalamu, hizi si ideology za kinazi?
Unampangia mwenzako matumizi ya kutumia uranium yake kwa matumizi ya amani kabisa ikiwemo kufua umeme, wewe kama sio mnazi ni nani?
Umezunguka duniani umeuawatu wasio na hatia kwa sababu ya maslahi yako binafsi, ikiwemo kudhamini vikundi kusababisha civil war mfano Africa, wewe kama sio mnazi ni nani?
Namuelewa sana Putin, acha akomeshe huu uxeng...
Wadau endeleeni kuweka list ya vitendo vya unazi mambo leo.
Kwanza tukumbuke usemi eti mhanga wa kwanza wakati wa vita ni ukweli. Ukiacha hao wanaoshangilia upande mmoja au mwingine kama vipofu, au tuseme kama mashabiki wa Yanga / Simba, simwoni mtu anayeamini kwamba Ukraine imeshinda au itashinda kijeshi kwa maana ya kuharibu jeshi la Urusi.Nikujibu swali la kwanza, nadhani umeona Zelensky anachosema kuhusu msaada wa kijeshi hasa silaha kama ndege na vifaru, hivi hio kauli unaitafsiri vipi wewe?
Ujue kuna actual war halafu kuna hii propaganda war, kwenye propaganda war ipo wazi kwamba Ukraine imeshinda, hivi unafikiri media zingesema nini kama Russia ingesikika inasema inahitaji msaada wa ndege vita toka China?
Ukraine ilichofanikiwa ni kuchelewesha muda wa Russia kukamilisha mission yake, lakini kiuhakisia Ukraine inaanguka mkuu, hivi we ukikaa unaona kabisa Ukraine anashinda hii vita?
Russia imefikia point of no return yaani punda afe mzigo ufike.
Kuhusu unazi, Wasovieti wakikuita we ni mnazi, ujue ni adui mkubwa saaana, Ukraine wana ideology za unazi mambo leo.
Kwa hivyo Ukraine ilikuwa itumike kuiua Russia, so Russia is right Ukraine ni neo nazis.
Watakufa kama KUKU shenzi zaoIt is reported that fuel reserves in Ukraine are left for 5-10 days View attachment 2165935
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Setting disapproval rating records: A new NBC News poll shows that Joe Biden's job approval rating has plunged to 40%, marking his lowest approval rating in the 15 months since he took office.
[emoji842] 71% of respondents said that the nation is "off on the wrong track"
[emoji842]62% said their family's income is "falling behind" the cost of living
[emoji842]63% disapproved of Biden's management of foreign policy
Mzee mpumzishe kdg babu biden utampa presha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ikulu ya Marekani yajitenga na kauli ya Rais wao Biden, kuhusu kutaka uongozi wa Russia ubadilishwe...
Sijui kwa nini hawa watu wanamuogopa Putin (Russia) hivi!
Ingekuwa ni kiongozi wa nchi dhaifu dhaifu ndio katangaziwa kubadilishwa wangepiga kimyaaa...ila eti leo wanadai Marekani haina sera ya kutaka watawala wa nchi nyinginezo wabadilishwe!
View attachment 2166100
View attachment 2166123
Katika swali la Unazi, ukikubali Putin atoe ufafanuzi wa neno hili jinsi anavyopenda, basi.Kuhusu unazi, Wasovieti wakikuita we ni mnazi, ujue ni adui mkubwa saaana, Ukraine wana ideology za unazi mambo leo.
Kwa hivyo Ukraine ilikuwa itumike kuiua Russia, so Russia is right Ukraine ni neo nazis.
Tafadhali utaje chanzo chako!Wamarekani HALISI.
1. 71% Wanasema taifa linaelekea kusiko
2. 62% Wanasema vipato vya familia zao vimeshuka chini ya gharama za maisha.
3. 63% Wanasema hawakubaliani na sera za nje za utawala wa Biden
VIVA PUT INThe head of the Lviv Regional Military Administration, Maxim Kozitsky, announced the complete destruction of the oil depot in Lviv during yesterday's shelling by the Russian Armed Forces. View attachment 2165949
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaambiwa apa hilo taifa wote mabilionea, hawana njaa inakuaje wanaenda adi mpakani uko kwa mexico kudodge just $2 kwa Gallon [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] ina maana bei ka ya kwetu huku waswahili imewashinda au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]American drivers go to Mexican Tijuana for cheaper gasoline.
Prices there are $2 lower than in California, which borders the city. The average cost of a gallon (3.7 liters) in the country is now about $4.2.
In the United States, after the introduction of anti-Russian sanctions, fuel has risen sharply in price, as well as inflation is growing and the number of flights is decreasing.
Galip SV Liwagu View attachment 2166373
Hata hiyo scrnshot ya bbc iliwekwa humu ya kuwa Russia wamebakiza chakula cha siku tatu tu. Tukasema siku tatu zitaisha na wataumbuka! Kiko wapi!? Ndio kwanza kichapo kimezidiukisoma heading tu kwe hizi media hutoelewa chochote utaona kila kitu ni ukweli au uongo, uhaba wa chakula unaweza tokea hata km daraja limebomolewa somewhere, hii issue ya chakula iliandikwa kutokana na analysis ya mvurugiko wa logistics na si km hivyo ww unavyoiwasilisha
Hatua njema nayakuigwa hiiJamuhuri ya watu wa Luhansk inatarajia kufanya kura ya maoni nchi nzima ktk kufanya uamuzi wa kujiunga na Russia...
Ni hatua nzuri na ya kupongezwa...Umoja ni Nguvu
View attachment 2165956
RUSSIA wanahuruma sana inatakiwa wazidi kupeleka motoView attachment 2165963
Everyone on the planet needs to know what Russia is doing. So that the responsibility for crimes against the Ukrainian people becomes inevitable and as severe as possible for the Russian military.
View attachment 2165964View attachment 2165965View attachment 2165966View attachment 2165967
Photo: Senna Fadel, Felipe Dana, Alfredo Bosco, Maximilian Clarke, Rodrigo Abd, Aris Messinis.
ππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] kula 5 mzee baba [emoji109][emoji109][emoji109]
Safi sana UCHINAWenzao wa ukraine huku wamepigwa stop wasilete shidaView attachment 2165976