Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,558
Pamoja mkuuNa hizo ndizo agenda ambazo hatuzitaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii dunia na mbabe mmoja tutapakatwa sana [emoji119][emoji119][emoji119] Acha adondoke tu mbuzi hao...
Sema hako ni ka kikundi flani hivi ka watu sio America wote [emoji849][emoji849][emoji849]...
Njooni uku LL Seniorsβ¨π kuanzia kesho tukipata mda tutakuwa tunazungumza mdo mdo kwa uhuru.
π€£π€£Harafu mashabiki wa Putin ni vichaa kama mzee wao. Yaan wanasema NATO wanamwogopa kichaa wao. Wakati huo wanasema Wanapigana ili Ukraine asijiunge na NATO maana ni hatari kwa usalama wa taifa lake .
Imeshangilia wapi wakati kiongozi wa hayo maandamano ni mkenyaHaya warusi weusi, hiyo hapa RT inashangilia bomba la mafuta lisijengwe UG-TZ, sababu anajua Mrusi atakosa deal la kuuza mafuta Africa baada ya vikwazo....
Mna akili za ki[emoji90]...
View attachment 2166037
Umenitag ila sina hoja itakayosaidia kuendeleza ulichokianzisha. Ngoja tusubiri wengine nao huenda akapatikana mkaungana kupambania mwendelezo.Wamarekani HALISI.
1. 71% Wanasema taifa linaelekea kusiko
2. 62% Wanasema vipato vya familia zao vimeshuka chini ya gharama za maisha.
3. 63% Wanasema hawakubaliani na sera za nje za utawala wa Biden
Wamarekani wa BUZA.
1. 101% Taifa la marekan kubwa na lipo kwenye right track.
2. 101% Akifanyacho Biden katika sera za nje yuko sahihi kwa ustawi wa taifa lake.
3. 101% Wanasema Marekani kama peponi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukipewa machaguzi ya wapi uende utakimbilia huko.
Kwa mujibu wa Wamarekani wa BUZA hizo data za Wamarekani HALISI ni POROJO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba kuwakilisha
Cc Tsh Mwanamkiwi Coco reborn T14 Armata Joannah Omary - Msamalia Nyamizi Imeloa na wengineo uko
Nimenunua ugonvi [emoji1739][emoji1732][emoji849][emoji847][emoji23]
Tafadhali soma kitabu kizuri kuhusu historia ya Urusi na Umoja wa Kisovyeti.Mimi siyo shabiki wala adui wa Urussi, ila ninachojuwa ni kuwa Urussi ikipoteza nguvu za kijeshi ni lazima magharibi ianzishe ukoloni na utumwa upya. Kuwepo kwa Urussi na China ndiyo ahueni yetu sisi wanyonge. Gorbachov alifanya makosa saana kudanganywa na USA. Baada ya makubaliano kuwa nchi za Ulaya Mashariki hazitaingia NATO, sasa hivi hata zile nchi zilizoizunguka Russia ambazo zamani zilikuwa USSR zinakaribishwa. Zile za Ulaya Mashariki ziliishaingia zote.
Na inabid ujue kuna known natural gas reserves na zile unknown, yawezekana kongo ikawa ya kwanza sema haijulikaniUkiangalia vizuri most of western supportes kwenye huu uzi hawana data za kutosha. Uwezo wa kupambanua mambo ni finyu mno zaidi wala hoja hawawezi jenga na ukihoji maswali zaidi watakuepuka.
Asilimia kubwa katika wao wanashindwa kutofautisha kati ya term hizi chini.
1. World Largest Producer
2. World Largest Exporter
3. World Largest Consumer
4. World Largest Importer
5. World Largest Reserves...
Hizo ni term 5 tofauti kabisa na kila term ikiwa na implication yake tofauti.
Kingine pia wakiwa wanazitizama data wanashindwa kutofautisha ni kitu kipi wanacholinganisha.
1. Oil
2. Natural Gas
Mfano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the country with most Largest Oil reserves nitataja 5.
Moja Venezuela
Pili Saudi Arabia
Tatu Canada
Nne Irani
Tano Iraqi
Nyongeza ni Russia wa Nane na USA wa 11. Apa tuelewane vizuri hii ni "Reserves" sio "Productions"
Na country with the largest Natural Gas reserves
Moja Russia
Mbili Iran
Tatu Qatar
Nne Turkmenistan
Tano US of America
Point ya nyongeza ni kuwa hizo nchi tatu za awali Russia Iran na Qatar zimeshikilia zaidi ya nusu ya Natural Gas zilizopo dunian.
Sasa hio list juu inapishana na list zingine katika yale makundi matano kule juu. Uchanganuzi na upambanuzi mzuri ni pale mtu anapoweza kutofautisha nchi katika matabaka hayo matano...
Hii ni kwenye Reserves yake, uzalishaji wake, utumiaji wake. Katika utumiaji wake ndipo utapata kujua ana imports kiasi gani na ana exports kiasi gani.
Nchi za kiarab kama Qatar, UAE na Saudi Arabia zinaeza zisishike number moja katia uzalishaji lakini zinashika nafasi za juu kwenye exports kubwa sana ya Crude Oil duniani.
Nchi kama USA anazalisha kwa wingi ila anafanya imports kubwa ya Gas ama Oil kutoka nchi zingine kwasabab ana consuming more zaidi ya anavyozalisha.
Nchi kama Venezuela ina high reserve by far ya Oil ila haizalishi kwa wingi ukilinganisha na wengine [emoji23][emoji23][emoji23] (hapa napo ndipo mtakapoona unafiki wa mmarekani) nchi zenye Largest reserve zipo kwenye list ya nchi alizozipiga sanctions za kutosha.
Nchi kama China, hazalishi kwa wingi ila ni mtumiaji mkubwa wa Oil and Gas kwa hesab rahisi kuliko Ulaya yote combined.
Na kwanini tunasema Russia, kwa mfano mwepesi ni sawa na mkulima mwenye familia ya watoto wawili kisha analima Ekari laki 1. Huyu hawezi lala njaa wala hawezi kuishiwa chakula. Tofauti na wenzie.
Katika makundi yote pale juu Exporters, Productions, Reserves humkosi kwenye top ten lakin linapokuja swala la Importers hata kwenye top 100 hayumo. Na kwenye list ya Consumers bado kiasi anachokitumia na kile anachozalisha kina surplus kwa ratio kubwa mno...
So nahisi na nafikiri ni vyema tunapozungumza flan anazalisha kwa wingi tuzame deep kwa ufafanuzi zaidi.
HawatakuelewaNyongeza nakazia wasichokijua USA anadaiwa kuliko mataifa yote duniani. Hakuna nchi isiyokopa. Ila mkopo wa USA umezidi GDP Nominal yake...
Huyo anaemsifia anagawa ela kila mwaka ana deficit ya budget yake kila mwaka. USA ana deni la Dollar Trillion 26 ambayo kwa sasa ni takriban 137% ratio to GDP.
Kwasabab Pro NATO, Pro USA hum sio wafatiliaji na uwezo wa kufikiri ni mduchu hawajiulizi kwanini Raia wake wanalalama kodi zao zinatumika hovyo ilhal wao mambo hayako sawa.
Wanalalama kodi zao kutumika nje badala ya kujenga America yao. Wanalalama wanataka majeshi yao yarudi kwenye ardhi yao. Hao ni Raia wa America sio hawa mbukuzikizi wanaoshinda NetFlix kutizama Hollywood wakijua hayo ndio maisha ya Wamarekani. Sawa na Mkenya kutizama bongo movies aseme TZ maisha mazuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna jinga moja uko juu likaanza kupayuka kua etiiii uchumi wa Mmarekani ni Mara 20 zaidi kuliko Russia... Akatia na neno la ziada kua Ukiongeza China na wengineo combined bado hawajamfikia USA.
Nikajisemea kimoyo moyo kwa hiyo hii zumbukiki inajua GDP ndio kiwango cha uchumi. GDP ndio number ya kipimo cha uchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayajui ata yanalinganisha GDP vp. Hayajui yanalinganisha GDP kwa term zipi nominal au Purchasing power parity au ilimradi kaona tu neno GDP.
Ukweli ambao wengi haswa hawa wamarekani wa tandale wasio ujua na ambao unasemwa sana na wamarekani halisi... Ni kua US iko under control of psychopath, group of elite ambao dhumuni lao kubwa ni kutawala dunia. They don't care kuhus Raia wao. What matters alot kwao ni Pesa and ultimate control ya kila kiumbe chini ya jua.
Na hilo kundi ndilo linalopigana na Putin na wengine uko nyuma waliojitokeza kua n interest tofauti na wao sio [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]. Mfano Hii tweet chini ya Mgombea wa Uraisi 2020. Hawa ndo wanaijua nchi yao vizuri. Wanakwambia hivi.
View attachment 2165948
Ni kweli tofauti sa kisiasa hua zipo kama hapa kwetu, lakini kuujua uhalisia wa Raia wa Tanzania ukifika Airport muulize mpinzani atakweleza kila kitu thou kisiasa anaeza kuongezea na mengine. But atakweleza kwa uwazi kuliko mtawala ambaye kwake ni kusifia tu.
USA is the wold largest economy kwa GDP nominal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] China is the world largest economy kwa GDP Purchasing Power Parity [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tukitaka kusifu basi walau tukijue tunachokisifu kikoje zaidi ni kujichoresha tu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Tanzania huwa tunatoa msaada nchi za jiran pia ila tunadaiwa madeni makubwa tu.
USA nae atoa msaada nchi jiran ila anadaiwa sana tu na bado budget yake ni kubwa kuliko pato lake [emoji119][emoji119][emoji119]... Na still bado wananchi wake wanalia njaa..
Hii ni post yake ya juzi...
View attachment 2165979
Then soma hizo comment chini
View attachment 2165978
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoj niishie hapa comment isije kua ka Gazeti la Mwananchi [emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1732]
Sawa mkuu.Kwanza tukumbuke usemi eti mhanga wa kwanza wakati wa vita ni ukweli. Ukiacha hao wanaoshangilia upande mmoja au mwingine kama vipofu, au tuseme kama mashabiki wa Yanga / Simba, simwoni mtu anayeamini kwamba Ukraine imeshinda au itashinda kijeshi kwa maana ya kuharibu jeshi la Urusi.
Mimi niko kati ya hao wanaoona Ukraine inaweza (labda) kushinda kisiasa ikifaulu kuzuia Urusi kuteka sehemu kubwa zaidi ya nchi na kuvunja jeshi lake.
Zelensky kutafuta silaha - siwezi kuona zaidi kuliko: Zelenski anadai silaha fulani (nadhani anajua hatapata anachosema lakini madai yanaongeza uwezekano atapata mengine). Kama angepata kweli silaha zinazofaa kwa mashambulio (kwa mfano roketi za kulengwa -cruise missile-,) pamoja na roketi za Patriot na ndegevita, angepata nafasi ya kumaliza manowari kwenye Bahari Nyeusi (mkataba wa Montreux unazuia Urusi kuleta manowari za ziada) na kuongeza uwezo wa kuharibu mitambo ya Kirusi. Ila jinsi mambo jinsi yalivyo, sitegemei atapata.
Sioni madai ya Zelensky ni dalili ya kushindwa. Kinyume jeshi lake bado linaweza kuzuia Warusi mahali pengi, na hapo na pale kurudisha nyuma. Kama Putin anaweza kuendelea muda mrefu, atakuwa na akiba kubwa zaidi ya askari. HApo anaweza kuharibu jeshi la ukraine, ila hajafika bado. Tamko eti wameshamaliza, inaonekana kisiasa. sehemu ya "ukungu wa vita", jinsi alivyoiita Clausewitz.
Ngoja Putin atume magaidi wake waulipuwe. ππππImeshangilia wapi wakati kiongozi wa hayo maandamano ni mkenya
RUSSIA sio ZIMBABWEMacron ajitenga na maneno ya Biden, kumwita Putin Mchinjaji. Asema hawezimwita Putin mchinjaji ati kwa sababu tu ya Putin kumfunza 'adabu' na 'nidhamu' Zelensky huko Ukraine
View attachment 2165998
RUSSIA sio ZIMBABWEUingereza yajitenga na maneno ya 'kilevi' ya Biden alipotaka utawala wa Putin ubadilishwe. Uingereza imesema ni jukumu la waRusi wenyewe kuamua nani awaongoze, na sio Biden.
View attachment 2166002View attachment 2166003