Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mie niko willingly kusaport meeting yenu financially ni pamoja na kulipa bill zote hata kama mtarefusha mazungumzo kwa siku kadhaa nitalipia hapo mtakapofikia
Ha ha haa ,aisee umenichelesha sana.
Ila Mdogo wangu Joanna bado hajakubali tukutane wapi.ngonja nimhimize,akukibali Mzee utafadhili hiyo meeting.
Unajua Joanna sio kwamba hajui ishu za kimataifa,anajua sana,shida yake hajui ishu za vita baridi na madhara yake.
Na pia hajui habari nyingi za Urusi.
We si unajua Vijana wengi wanapenda Umarekani?
Music, basketball,movies,fashions,na mambo kama hayo.
Kwa hiyo ili kumuelewesha kuhusu Foreign Polisi ya USA jinsi ilivyo na ushetani ni kazi kubwa,meeting itachukua wiki mbili.
Joanna hapendi shida itabidi meeting ifanyike hotel moja kubwa hapa Dsm ila sitaitaja USA wasije wakatukamata.
 
Mkuu humu kuna watu wazungumza kama kwenye bongo zao yamejaa mavi.. wanajifanya hawaelewi sababu za Russia kufanya anachofanya.. as if wao wanwweza chekelea kukaa nyumba mmoja na adui anaweza hatarisha maisha yake
wenyewe mnasema NATO anamwogopa RUSSIA. Sasa nyinyi mnaogopa nini Ukraine kujiunga na NATO ?
 
Hata Mimi geologist naweza kuchaguliwa kuwa waziri wa Mambo ya nchi za nje kweli?wakiwachagua Nyie wenye fani za siasa inatosha!
Kwangu Mimi kukiwa na amani duniani na uchumi imara inatosha...S
 
Asante kwa kukubali ombi langu mkuu naomba Sana Joanna asikilize Kwan inamasilahi mapana kwake lets meeting begun nipm mapema kabsa mkuu akikujibu
 
Hebu tutafakarini kuhusu ziara China ya waziri wa mambo ya nje wa Russia. Je kuna nini? Au ni kuomba msaada kupunguza MAKALI YA VIKWAZO.
 
Wewe acha uongo, nia ya Russia ilikuwa ni kuiteka Ukraine hasa Kyiv ndani ya siku tatu tu na sasa baada ya kushindwa ndio sasa wanataka waimege Donbas, kama hujui ngoja nikueleweshe.
Ndo upeo wa akili yako ilipoishia hapo ushauri wangu ..[emoji848][emoji848]..... huku hakuwafai watoto wa FACE BOOK rudi huko....au nenda huko instagram.....shabaaash...[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Unadhani Ukraine ni ibinzamata kwamba hela za yacht titatosha kuijenga Ukraine asee akili ni nywele ila wewe rasta unanitia mashaka
Duh unayo uchungu na fedha oligarchs waliwabia warusi utadhani za ukoo wako! Kwa taarifa zaidi ya dola bilioni 600 dhamana ya urusi mabenki ya ulaya zimezuiliwa .Hizi nazo kugharamia ujenzi Ukraine. Ha ha lazima VladimirPutin akumbushwe action have consequences - bomoa utagharamia ujenzi bladi fool.
 
Mkuu unajibu points zangu kwa urahisi sana siyo deep..
Unajua kuwa wakati Putin alisema utawala wa Kiev umevamiwa na wauza unga.Akimaanisha Ukraine IPO kwenye mikono ya watu wabaya(wasio upande wake) akimaanisha tokea ile Euromaidan .Na utakumbuka hata chokochoko hizi zimeshika kasi tangia 2014 na has a baada ya ishu ya Crimea.
Ukweli ni kwamba hayupo radhi na utawala ule wa sasa kutokana na anajua haupo upande wake.anachojaribu kufanya ni bora ya nusu Shari kuliko Shari kamili.
Ukija kwenye conditions Ukraine nae ana zake ...jaribu kufuatilia .
Uharibifu kwenye vita ni jabo lisiloepukika rejea vita zote(Korean war,Vietnam war,Iraq invasion ,Isreal-Arab war etc) unachuangalia ni malengo makuu ya vita yametimia(yanaweza kuwa zaidi ya moja) .
Mfano malengo kuu LA vita ya sasa ni;

1,Kubadili utawala na kuweka kibaraka(hii itafanya malengo mengine yaenge smoothly)
2,Kuizuia Ukraine isijiunge na NATO hata EU( kabla ya vita) kumbka situation inaweza ukabadili au ku-modify malengo.
3,kuchukua majimbo mawili au ikiwezekana kuidesolve kabisa Ukraine..rejea lugha walizokuwa wakionge viongozi wa Russia kuwa Ukraine imeundwa na Russia (kwenye baadhi ya vifaru vyao nilikuwa na Bendera za USSR)
4,kuikalia kimabavu Ukraine ..
5,kulidhoofisha jeshi lake na kulifaya liwe dhaifu(demilitarization)
#kumbuka baada ya maendeleo ya vita ndio yamefanya Russia na Ukraine ku-change na ku-midify baadhi ya malengo yao...mfano Ukraine baada ya maafa na uharibifu amekubali kutojiunga na NATO ,kwa upande wa Russia baada ya kuona Regime change ni ngumu kutokana na Wananchi kushikamana na Serikali yao na Upinzani wa kijeshi aliokutana nao unlike ule wa Crimea(casualties in military personnel na vifaa) na gharama za vita kutokana na vita kuprolong so kaamua. Utawala uendelee ila baadhi ya matkwa yake yafuatwe ikiwemo ilo LA NATO ambalo pimekubaliwa naCrimea +Donbass,Demilitarization ambayo bado hayajakubaliwa.

Mkuu unapoangalia jambo ushabiki na upenzi weka pembeni utakuwa unafanya uchanganuzi mzuri
 
Itakuwa vzr kwasababu watagharamia ikiwa China ya urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…